Rais hakuwatuma Polisi wamkamate Mbowe na kumpa kesi ya ugaidi

EEti polisi walikuwa wanatimiza Jukumu lao,kwa hiyo ni jukumu la Polisi kukamata watu pasipo makosa??
 
Kwann mnahangaika na chadema isiyo miliki hata rungu sembuse silaha au jeshi mna akili kweli,au mnapiga dili ya kulamba kodi zetu kupitia kamatakamata.
Maana KILA siku kamata achia kamata achia ieleweke hii biashara ya watu

Ain't nobody give a damn about chadema,

Nan anahangaika nao?wao ndiyo wanahangaika na sisi wananchi Tena kwa maslahi yao,lin sisi tumewatuma chadema kupambana kwa jasho na dam hivyo kudai katiba mpya?lin...
 
Labda kwa taarifa yako na wengine wenye akili nyembamba kama uliyonayo ni kwamba bila kujali ni polisi wenyewe au ni Samia , Freeman Mbowe , Mwamba mwenyewe hajawahi kuogopa wala kuhofia kukamatwa na Polisi wa Tanzania , kwa sababu polisi wanamheshimu sana Mbowe kuliko unavyodhani na ndio wanaompa siri zote za wanaowatuma
 
Ain't nobody give a damn about chadema,

Nan anahangaika nao?wao ndiyo wanahangaika na sisi wananchi Tena kwa maslahi yao,lin sisi tumewatuma chadema kupambana kwa jasho na dam hivyo kudai katiba mpya?lin...
Why mnawapa big time kuwakamata.
Civilized educated people kelele za chura haxiwazuui kunywa maji.Watu hawana silaha zaidi Wana mdomo wa kuongea usiku wanalala.Nani kakwambia upinzani ni tishio la usalama wa nchi, upinzani una nguvu nyakati za uchaguzi ndipo uungwa mkono.
 
Katiba ya Chadema imewahi kufanyiwa mabadiliko mengi
Labda ulitaka katiba ya CHADEMA iweje kwa mfano?
Unadhani kuna kitu gani kibaya ndani ya katiba ya CHADEMA?
Hebu ilete humu katiba ya chadema nayo tuipitie… maana yawezekana wanadai kitu ambacho kwao ndani kimewashinda
 
EEti polisi walikuwa wanatimiza Jukumu lao,kwa hiyo ni jukumu la Polisi kukamata watu pasipo makosa??

Wameambiwa mikusanyiko lazima ipate kibali kutoka kwao,na hiyo ni order kama Wana kaidi sasa unataka wafanywe nin,

Pia nanyinyi muache ufala wa kulalamika tuh kwenye keyboard kwann hamuingii barabaran kuandamana??

Mtakaa kifala fala kwenye social media had Lin??ingien barabaran makamanda
 
Mikutano ya ndani haihitaji kibali!
Au unataka kwa sababu ni order basi waitii hata kama ni order haramu?
 
Tunapotezeana muda tu, katiba mpya bila na mechanism ya kuhakikisha inatekelezwa ni upuuzi kwani hii iliyopo si inavunjwa tu. Katiba ni kitabu kama cheti cha ndoa ilivyo karatasi; mbona watu wanavinjari na michepuko kama hawana akili nzuri ingawa utaambiwa, ukitaka niwe wako tu, tufunge ndao
 
Tatizo halipo kwa chadema. Serikali ijitambue kuwa mwendazake alishachafua Tanzania kimataifa. Kitendo alichofamyiwa Lissa dunia haikuamini Kama ni Tanzania ile wanayoijua.

Serikali inajua figisu nyingi wanazowafanyia watanzania. Wakasahau sio watanzania wote wajinga. Na hao CNN na BBC wanna watu wao wanafanya kazi zao huko Tanzania.

Mama Samia Rais watu achana na hao wanaokushauri kwa kubahatisha. Waite wapinzani wote uongee nao. Achana nahao wanaotetea vitumbua vyao. Nadhani taarifa nyingi za ukweli unazipata kwa wapinzani.

Mfano hili la Mbowe litathimini ili tabia hiyo ife tumbua waweke wazi majina yao.

La tozo nalo kula kichwa wakae pembeni. Watafafanyakazi kwa vinyongo na watasumbua attention za wananchi wako.
 

Police said,their god-damned chairman got a terrorism charges...we na mm tunawezaje kukataa na hatuna ushahid?

Tusubir polisi watuthibitishie,also we are resting to the cemetery many many of our loved ones,because of this third wave, mikusanyiko ya nini??
 
Udikteta wa Magufuli ulikuwa unaukemea leo unausifia ili upate justification ya kumlinda mama yako alieko ikulu, nyie wajinga mpo tayari kuona watanzania wanapata matatizo ili kulinda "interest" zenu ni wanafiki na wasaliti wakubwa wa hili taifa.
Udini ni useng..e
 
Kumbe
 
Jamaa ni bogus sana, wana uwezo mdogo wa kuchambua mambo na kuyajengea hoja ya kueleweka.
Wazee wa kuomba tende uarabuni.
Si unaona hata ziito kabwe kisa udini hana kelele sana si mnakumbuka hata kpnd cha kikwete
 

Hizi dini zilizoletwa na meli zimeharibu akili zetu waAfrika hadi tunatia kinyaa.

Tangu lini umekuwa msemaji wa Ikulu !.Rais angekuwa Irene au Stellah ungekuja na andiko lako la kipuuzi na unafiki.
 
Udikteta wa Magufuli ulikuwa unaukemea leo unausifia ili upate justification ya kumlinda mama yako alieko ikulu, nyie wajinga mpo tayari kuona watanzania wanapata matatizo ili kulinda "interest" zenu ni wanafiki na wasaliti wakubwa wa hili taifa.
@Mohamed Said Na THE BIG SHOW ni wadini kupindukia.
Leo hii hawa hawaoni baya kwa uongozi wa Mh.Samia kisa tu ni muislam mwenzao.
Watanzania wenye msimamo tumebaki wachache kama idadi ya faru weupe.
 


Umeongea point Sana,

Mfano hai,kwa hii hii katiba tuliyonayo...inavunjwa waz waz kama hii ishu ya covid-19 hawa wa chadema...

Imetumika nguvu gan hasa hata ya kupelekea wananchi kuona uzito wa hilo suala lenyewe,si unaona wamerud kukaa kimya wakisubir huruma ya CCM??

Wangekuwa na akili kidogo wangeanza kudai tume huru ya uchaguz,wanaacha kuanza na vitu vya msingi wanakimbilia mambo MAKUBWA ambayo hata wenyewe ndan ya Chama yamewashinda
 
Kila dikteta lazima apingwe!
Lazima nchi ipate katiba bora!
Katiba bora itatupatia viongozi bora!
Kiongozi asiye tii katiba huyo ni mbovu na hafai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…