Rais hapaswi kufanya kazi za kawaida za Rais akiwa nje ya nchi

ndg ! Htr ukame Kenya na hata sisi mabadiliko ni makubwa
 
Kimbunga kazi yake ni kutuelez ya Dr. Juma na Mkapa na siyo kuleta hoja kwa kuipachika swali kama walivyo watanzanua wengi.

Kinachojulikana ni kwamba Mkapa nje kwa siku kadhaa.

Inasemekana Dr. Omar akapitisha mambo ambayo Mkapa aliporudi akayahoji, wapo wanaosema ni vibali vya sukari.

Wapo wanaosema Mkapa alipohoji Dr. Omar akashtuka hadi ikapelekea akaugua ghafla na kufariki.

Kwa bahati mbaya siijui hiyo! Walitawala wakati nikiwa naishi nje ya nchi.
 
Waziri mkuu hawezi kukaimu urais. Mlolongo ni rais, makamu wa rais, spika na jaji mkuu.
Haya, huu ni uwanja wa wanasheria....... wakali wa kemia, fizikia na bailojia kaeni pembeni.

Ngoja tusubiri wanasheria wengine magwiji waingie ulingoni.
 
Wakati Rais Samia ambaye yuko Marekani, nje ya nchi, kamteua Rosemary Slaa kuwa Mwenyekiti wa bodi ya MSD.

 
Tunaambiwa hii ni awamu bora kuliko zote haijawahi tokea.

Katiba haivunjwi na wala hakuna ufisadi kabisa.

Ufisadi upo awamu ya tano tu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…