Rais Hassan ana lake jambo la hila dhidi ya Tanganyika kuhusu hili la Bandari na mengineyo.

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Hello,

Naomba ifahamike upumbavu uliopo kwenye huu mkataba wa DP world kuendesha bandari za Tanganyika ni kichaa tu na mkusudi na mwenye hila na Tanganyika ndio anaweza thubutu, na huu ni upofu wa kila kitu.

Nadhani kuna dhamira ya kuvunja muungano Kwa kuibua chagizo za kipuuzi kuhusu Tanganyika.
 
Kuna rais anaitwa hasan apa bongo??
 
Wenye jamii forums yao wakiuona huu uzi, lazima watauunganisha tu na nyuzi nyingine, kama siyo kuufuta kabisa.
 
Inatakiwa tupate na ile mikataba mingine 36 aliyosign huko Dubai tunaweza kushangazwa zaidi
 
Hello,

Naomba ifahamike upumbavu uliopo kwenye huu mkataba wa DP world kuendesha bandari za Tanganyika ni kichaa tu na mkusudi na mwenye hila na Tanganyika ndio anaweza thubutu, na huu ni upofu wa kila kitu.

Nadhani kuna dhamira ya kuvunja muungano Kwa kuibua chagizo za kipuuzi kuhusu Tanganyika.
Tuendelee kuipiga serikali hadi kieleweke.
 
Hello,

Naomba ifahamike upumbavu uliopo kwenye huu mkataba wa DP world kuendesha bandari za Tanganyika ni kichaa tu na mkusudi na mwenye hila na Tanganyika ndio anaweza thubutu, na huu ni upofu wa kila kitu.

Nadhani kuna dhamira ya kuvunja muungano Kwa kuibua chagizo za kipuuzi kuhusu Tanganyika.
Mimi nina wasiwasi nae, pengine ni puppet, ila puppet master ndio mwenye hizi hila
 
Hivi kuna siku nilimsikia akisema huwa anapitapita humu JF kusoma mada na maoni. Kama ndivyo, haoni zaidi ya 98% watanganyika wamegoma juu ya bandari kuuzwa na wauzaji wakiwa wazanzibar? Yaani unauza cha jirani yako huku chako hauko tayari kukiuza.
 
Hello,

Naomba ifahamike upumbavu uliopo kwenye huu mkataba wa DP world kuendesha bandari za Tanganyika ni kichaa tu na mkusudi na mwenye hila na Tanganyika ndio anaweza thubutu, na huu ni upofu wa kila kitu.

Nadhani kuna dhamira ya kuvunja muungano Kwa kuibua chagizo za kipuuzi kuhusu Tanganyika.
Suala la Mkataba Mimi binafsi unaniumiza kichwa sana, hivi inawezekanaje kwa mtu mwenye akili zake timamu kabisa ambaye ni Mtanzania halisi akakubali kukodisha rasilimali zake ( ardhi na bandari) kwa raia wa kigeni kwa mkataba usio na kikomo, yaani mkataba wa milele na milele ktk maisha yake yote ya hapa duniani??? Hii inawezekanaje?????? Jambo hili nyinyi Watanzania wenzangu hivi kweli linawaingia akilini???
Mimi binafsi naona jambo hili limekataa kabisa kuingia akilini mwangu, na ubongo wangu hautaki kulipokea.
 
Na wewe na utu uzima wako wote huo unaaamini kitu kama hicho?!!!! Au ndo lissu huyo?!! Kalaghabaho!
 
Kina Rostam Aziz wanavyoipenda DP wprld huwambii kitu
 
Na wewe na utu uzima wako wote huo unaaamini kitu kama hicho?!!!! Au ndo lissu huyo?!! Kalaghabaho!
Kama wewe huamini kitu hicho, naomba basi utufafanulie basi sisi tunaoamini, tafadhali ujibu maswali haya ambayo yanatuuzima akili sisi wenzako. Naomba ujibu swali moja baada ya jingine, huku ukinukuu kifungu husika cha Mkataba wa Bandari ili ku-support majibu yako. Nasubiri majibu kutoka kwako.
Maswali ni haya:-
1. Je, muhula au muda wa uhai wa Mkataba huu wa Bandari kati ya Serikali ya Tz na DPW ni miaka mingapi???
2.Mkataba huu kati ya Serikali ya Tz na DPW:-
(i) Utaanza au umeanza rasmi lini, yaani effective date??? Starting date???
(ii) Utakoma au utakuwa unaishia lini yaani ending date?? Je, Utakuwa umefika mwisho wake tarehe ngapi, mwezi gani na mwaka gani???

Nasubiri majibu kutoka kwako tafadhali sana ili nami niungane na wewe ktk Kutokuamini haya maneno ya watu yanayosemwa semwa mitaani kwamba Rais amegawa bandari yetu bure tena amewapa milele Waarabu wa Dubai.
 
Back
Top Bottom