Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Jiongeze darasani haujasoma lugha za mafumbo??Kuna rais anaitwa hasan apa bongo??
Tuendelee kuipiga serikali hadi kieleweke.Hello,
Naomba ifahamike upumbavu uliopo kwenye huu mkataba wa DP world kuendesha bandari za Tanganyika ni kichaa tu na mkusudi na mwenye hila na Tanganyika ndio anaweza thubutu, na huu ni upofu wa kila kitu.
Nadhani kuna dhamira ya kuvunja muungano Kwa kuibua chagizo za kipuuzi kuhusu Tanganyika.
Sululu HassanKuna rais anaitwa hasan apa bongo??
Mimi nina wasiwasi nae, pengine ni puppet, ila puppet master ndio mwenye hizi hilaHello,
Naomba ifahamike upumbavu uliopo kwenye huu mkataba wa DP world kuendesha bandari za Tanganyika ni kichaa tu na mkusudi na mwenye hila na Tanganyika ndio anaweza thubutu, na huu ni upofu wa kila kitu.
Nadhani kuna dhamira ya kuvunja muungano Kwa kuibua chagizo za kipuuzi kuhusu Tanganyika.
Suala la Mkataba Mimi binafsi unaniumiza kichwa sana, hivi inawezekanaje kwa mtu mwenye akili zake timamu kabisa ambaye ni Mtanzania halisi akakubali kukodisha rasilimali zake ( ardhi na bandari) kwa raia wa kigeni kwa mkataba usio na kikomo, yaani mkataba wa milele na milele ktk maisha yake yote ya hapa duniani??? Hii inawezekanaje?????? Jambo hili nyinyi Watanzania wenzangu hivi kweli linawaingia akilini???Hello,
Naomba ifahamike upumbavu uliopo kwenye huu mkataba wa DP world kuendesha bandari za Tanganyika ni kichaa tu na mkusudi na mwenye hila na Tanganyika ndio anaweza thubutu, na huu ni upofu wa kila kitu.
Nadhani kuna dhamira ya kuvunja muungano Kwa kuibua chagizo za kipuuzi kuhusu Tanganyika.
Pamoja na ile ya madini na gesi pia, au vp mdau?Inatakiwa tupate na ile mikataba mingine 36 aliyosign huko Dubai tunaweza kushangazwa zaidi
Na wewe na utu uzima wako wote huo unaaamini kitu kama hicho?!!!! Au ndo lissu huyo?!! Kalaghabaho!Suala la Mkataba Mimi binafsi unaniumiza kichwa sana, hivi inawezekanaje kwa mtu mwenye akili zake timamu kabisa ambaye ni Mtanzania halisi akakubali kukodisha rasilimali zake ( ardhi na bandari) kwa raia wa kigeni kwa mkataba usio na kikomo, yaani mkataba wa milele na milele ktk maisha yake yote ya hapa duniani??? Hii inawezekanaje?????? Jambo hili nyinyi Watanzania wenzangu hivi kweli linawaingia akilini???
Mimi binafsi naona jambo hili limekataa kabisa kuingia akilini mwangu, na ubongo wangu hautaki kulipokea.
Kama wewe huamini kitu hicho, naomba basi utufafanulie basi sisi tunaoamini, tafadhali ujibu maswali haya ambayo yanatuuzima akili sisi wenzako. Naomba ujibu swali moja baada ya jingine, huku ukinukuu kifungu husika cha Mkataba wa Bandari ili ku-support majibu yako. Nasubiri majibu kutoka kwako.Na wewe na utu uzima wako wote huo unaaamini kitu kama hicho?!!!! Au ndo lissu huyo?!! Kalaghabaho!