Rais hatukanwi, na kadhihakiwi - bali hushauriwa tena kwa hekima ya hali ya juu - CHADEMA badilikeni

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2020
Posts
2,091
Reaction score
1,918
Tanzania ni taifa la kistaarabu sana - hata kipindi cha kudai Uhuru ustaarabu ndio uliotawala badala ya matumizi ya nguvu.

Sasa baada ya kuingia kwa vyama vingi vya siasa, na baada ya kupata maendeleo ya ktk sekta za mawasiliano hususan matumizi ya simu za mikononi - umejengeka utamaduni mbaya wa kutukana, kudhihaki, kunanga, au kubeza jitahada za viongozi wa juu wa Serikali.
* Cdm jiulizeni hivi ikitokea TAL akawa Rais mtapenda atukanwe? JE, mtakubali?

* ACT Wazalendo - hivi ikitokea mkapata Rais kesho mtapenda atukanwe au kudhihakiwa? JE, mtakubali?

* CUF - hivi ikitokea IHL akawa Rais kupitia chama chenu mtakubali atukanwe au kukejeliwa? JE, mtakubali?

* Kwa vyama ambavyo sijavigusa - ikitokea mkapata Rais kupitia vyama hivyo mtakubali atukanwe au kukosolewa bila staha? JE, mtakubali?

Vivyo hivyo kwa wanaccm na wapenda amani nchini hatupendi kuona Rais akidhihakiwa, kutukanwa au kukosolewa bila staha. Tujitahidi kufikisha kero zetu kwa viongozi very diplomatically ataelewa, tujitahidi kutumia simu zetu kwmtizamo usioumiza mwingine ataelewa.

Hatuna nchi nyingine - hii ndiyo nchi tuliyozawadiwa na Mungu. Lkn pia kwa wasaidizi wa Rais jitahidini kutambua kero za kijamii na kuzitafutia suluhu haraka au kuzifikisha kwa Rais mapema kabla hazijaleta taharuki.

Kukawia kupata majawabu ya kero za kijamii ni kumchonganisha Rais na wananchi wake. Changamkeni.

Msakila Kabende Msakila
Kigoma.
 
GosTIfuasAAIgUX.jpeg
 
Kabla ya kulalamika kwa nini Baba au mama au mzazi/mlezi anatukanwa au anakemewa au anashauriwa na kuangalia uwasilishaji, jifunze:

1: Self personality ya mhusika.

2: Mahusiano yake na mwenzake au wakubwa wenzake ndani ya uzio wake.

3: Mahusiano yake na wenzake wa rika nje ya uzio.

4: Mahusiano yake na watoto wake/walio chini yake.

Mchungaji mwema: Ni unyenyekevu mkubwa kondoo wako mmoja anapochelewa au kupotea machungani, kutoka ukaangalie nini kimemsibu. Unaposema huyo ni mmoja tu haina shida, unajenga upotevu wa thamani kwa kila kondoo aliyebaki.

Kwa mkutadha huo, wahusi pia wataanza kupita na kondoo wako. Dhahma itabaki kwa mchungaji. Wengine watajaribu hata kumbiga mchungaji ili kondoo watawanyike vizuri na wao wafaidi.

NB: Watu huwajibika kwako kulingana na wewe unavyowajibika kwao. Haya mambo yako direct proportion na si inversely proportion.
 
Tanzania ni taifa la kistaarabu sana - hata kipindi cha kudai Uhuru ustaarabu ndio uliotawala badala ya matumizi ya nguvu.

Sasa baada ya kuingia kwa vyama vingi vya siasa, na baada ya kupata maendeleo ya ktk sekta za mawasiliano hususan matumizi ya simu za mikononi - umejengeka utamaduni mbaya wa kutukana, kudhihaki, kunanga, au kubeza jitahada za viongozi wa juu wa Serikali.
* Cdm jiulizeni hivi ikitokea TAL akawa Rais mtapenda atukanwe? JE, mtakubali?

* ACT Wazalendo - hivi ikitokea mkapata Rais kesho mtapenda atukanwe au kudhihakiwa? JE, mtakubali?

* CUF - hivi ikitokea IHL akawa Rais kupitia chama chenu mtakubali atukanwe au kukejeliwa? JE, mtakubali?

* Kwa vyama ambavyo sijavigusa - ikitokea mkapata Rais kupitia vyama hivyo mtakubali atukanwe au kukosolewa bila staha? JE, mtakubali?

Vivyo hivyo kwa wanaccm na wapenda amani nchini hatupendi kuona Rais akidhihakiwa, kutukanwa au kukosolewa bila staha. Tujitahidi kufikisha kero zetu kwa viongozi very diplomatically ataelewa, tujitahidi kutumia simu zetu kwmtizamo usioumiza mwingine ataelewa.

Hatuna nchi nyingine - hii ndiyo nchi tuliyozawadiwa na Mungu. Lkn pia kwa wasaidizi wa Rais jitahidini kutambua kero za kijamii na kuzitafutia suluhu haraka au kuzifikisha kwa Rais mapema kabla hazijaleta taharuki.

Kukawia kupata majawabu ya kero za kijamii ni kumchonganisha Rais na wananchi wake. Changamkeni.

Msakila Kabende Msakila
Kigoma.
Tanzania 🇹🇿 ni kwa ajili ya watanzania
Wewe nenda katoe ushauri kwenu BURUNDI
 
CHADEMA na Upinzani kiujmla wajitafakari asee wana matusi sana. Utakuta wanahoji kuhusu kopakopa inayoendelea, deni la taifa, mauaji, utekaji..

Haya ni matusi ya nguoni kabisa, sio ya kumwambia mtu mzima mwenzako.
 
Tanzania ni taifa la kistaarabu sana - hata kipindi cha kudai Uhuru ustaarabu ndio uliotawala badala ya matumizi ya nguvu.

Sasa baada ya kuingia kwa vyama vingi vya siasa, na baada ya kupata maendeleo ya ktk sekta za mawasiliano hususan matumizi ya simu za mikononi - umejengeka utamaduni mbaya wa kutukana, kudhihaki, kunanga, au kubeza jitahada za viongozi wa juu wa Serikali.
* Cdm jiulizeni hivi ikitokea TAL akawa Rais mtapenda atukanwe? JE, mtakubali?

* ACT Wazalendo - hivi ikitokea mkapata Rais kesho mtapenda atukanwe au kudhihakiwa? JE, mtakubali?

* CUF - hivi ikitokea IHL akawa Rais kupitia chama chenu mtakubali atukanwe au kukejeliwa? JE, mtakubali?

* Kwa vyama ambavyo sijavigusa - ikitokea mkapata Rais kupitia vyama hivyo mtakubali atukanwe au kukosolewa bila staha? JE, mtakubali?

Vivyo hivyo kwa wanaccm na wapenda amani nchini hatupendi kuona Rais akidhihakiwa, kutukanwa au kukosolewa bila staha. Tujitahidi kufikisha kero zetu kwa viongozi very diplomatically ataelewa, tujitahidi kutumia simu zetu kwmtizamo usioumiza mwingine ataelewa.

Hatuna nchi nyingine - hii ndiyo nchi tuliyozawadiwa na Mungu. Lkn pia kwa wasaidizi wa Rais jitahidini kutambua kero za kijamii na kuzitafutia suluhu haraka au kuzifikisha kwa Rais mapema kabla hazijaleta taharuki.

Kukawia kupata majawabu ya kero za kijamii ni kumchonganisha Rais na wananchi wake. Changamkeni.

Msakila Kabende Msakila
Kigoma.
Unamaanisha kubembelezwa wala siyo kushauriwa.
Hata aliyepita alishauriwa mkamdanganya kuwa anatukanwa,akawasikiliza na hata sasa anaendelea kuwasikiliza ninyi.
 
Sio Rais tu...hakna sheria inayoruhusu mtu yeyote kutukanwa... CCM ndo wanaongoza kwa kutukana wapinzani na hakuna anayekamatwa...sasa watu wamejenga mazoea kua matus n jambo la kawaida...Kemeeni matus kwa kila mtu si rais pekee anaetukanwa
 
Tanzania ni taifa la kistaarabu sana - hata kipindi cha kudai Uhuru ustaarabu ndio uliotawala badala ya matumizi ya nguvu.

Sasa baada ya kuingia kwa vyama vingi vya siasa, na baada ya kupata maendeleo ya ktk sekta za mawasiliano hususan matumizi ya simu za mikononi - umejengeka utamaduni mbaya wa kutukana, kudhihaki, kunanga, au kubeza jitahada za viongozi wa juu wa Serikali.
* Cdm jiulizeni hivi ikitokea TAL akawa Rais mtapenda atukanwe? JE, mtakubali?

* ACT Wazalendo - hivi ikitokea mkapata Rais kesho mtapenda atukanwe au kudhihakiwa? JE, mtakubali?

* CUF - hivi ikitokea IHL akawa Rais kupitia chama chenu mtakubali atukanwe au kukejeliwa? JE, mtakubali?

* Kwa vyama ambavyo sijavigusa - ikitokea mkapata Rais kupitia vyama hivyo mtakubali atukanwe au kukosolewa bila staha? JE, mtakubali?

Vivyo hivyo kwa wanaccm na wapenda amani nchini hatupendi kuona Rais akidhihakiwa, kutukanwa au kukosolewa bila staha. Tujitahidi kufikisha kero zetu kwa viongozi very diplomatically ataelewa, tujitahidi kutumia simu zetu kwmtizamo usioumiza mwingine ataelewa.

Hatuna nchi nyingine - hii ndiyo nchi tuliyozawadiwa na Mungu. Lkn pia kwa wasaidizi wa Rais jitahidini kutambua kero za kijamii na kuzitafutia suluhu haraka au kuzifikisha kwa Rais mapema kabla hazijaleta taharuki.

Kukawia kupata majawabu ya kero za kijamii ni kumchonganisha Rais na wananchi wake. Changamkeni.

Msakila Kabende Msakila
Kigoma.
Raisi ni nani ? Asitukanwe. Kama hataki kutukanwa asigombee uraisi. Kwani hakuna mtu anaye lazimishwa kuwa raisi. Kama unaona hutaki kukosolewa na kutukanwa acha wanao weza kuvumilia wagombee nafasi hiyo.
 
Tanzania ni taifa la kistaarabu sana - hata kipindi cha kudai Uhuru ustaarabu ndio uliotawala badala ya matumizi ya nguvu.

Sasa baada ya kuingia kwa vyama vingi vya siasa, na baada ya kupata maendeleo ya ktk sekta za mawasiliano hususan matumizi ya simu za mikononi - umejengeka utamaduni mbaya wa kutukana, kudhihaki, kunanga, au kubeza jitahada za viongozi wa juu wa Serikali.
* Cdm jiulizeni hivi ikitokea TAL akawa Rais mtapenda atukanwe? JE, mtakubali?

* ACT Wazalendo - hivi ikitokea mkapata Rais kesho mtapenda atukanwe au kudhihakiwa? JE, mtakubali?

* CUF - hivi ikitokea IHL akawa Rais kupitia chama chenu mtakubali atukanwe au kukejeliwa? JE, mtakubali?

* Kwa vyama ambavyo sijavigusa - ikitokea mkapata Rais kupitia vyama hivyo mtakubali atukanwe au kukosolewa bila staha? JE, mtakubali?

Vivyo hivyo kwa wanaccm na wapenda amani nchini hatupendi kuona Rais akidhihakiwa, kutukanwa au kukosolewa bila staha. Tujitahidi kufikisha kero zetu kwa viongozi very diplomatically ataelewa, tujitahidi kutumia simu zetu kwmtizamo usioumiza mwingine ataelewa.

Hatuna nchi nyingine - hii ndiyo nchi tuliyozawadiwa na Mungu. Lkn pia kwa wasaidizi wa Rais jitahidini kutambua kero za kijamii na kuzitafutia suluhu haraka au kuzifikisha kwa Rais mapema kabla hazijaleta taharuki.

Kukawia kupata majawabu ya kero za kijamii ni kumchonganisha Rais na wananchi wake. Changamkeni.

Msakila Kabende Msakila
Kigoma.
Huyuhuyu mpumbavu ndiyo unatiririka uharo kwa ajili yake, kuna kamsemo ka wahenga 'you reap what you sow' hivyo huwa anapewa stahiki yake.
Acha kutetea juha asiyejielewa.
 
Back
Top Bottom