TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
CHADEMA ni ya juu zaidi mara elfu million kuliko MamaSamia2025Tanzania ni taifa la kistaarabu sana - hata kipindi cha kudai Uhuru ustaarabu ndio uliotawala badala ya matumizi ya nguvu.
Sasa baada ya kuingia kwa vyama vingi vya siasa, na baada ya kupata maendeleo ya ktk sekta za mawasiliano hususan matumizi ya simu za mikononi - umejengeka utamaduni mbaya wa kutukana, kudhihaki, kunanga, au kubeza jitahada za viongozi wa juu wa Serikali.
* Cdm jiulizeni hivi ikitokea TAL akawa Rais mtapenda atukanwe? JE, mtakubali?
* ACT Wazalendo - hivi ikitokea mkapata Rais kesho mtapenda atukanwe au kudhihakiwa? JE, mtakubali?
* CUF - hivi ikitokea IHL akawa Rais kupitia chama chenu mtakubali atukanwe au kukejeliwa? JE, mtakubali?
* Kwa vyama ambavyo sijavigusa - ikitokea mkapata Rais kupitia vyama hivyo mtakubali atukanwe au kukosolewa bila staha? JE, mtakubali?
Vivyo hivyo kwa wanaccm na wapenda amani nchini hatupendi kuona Rais akidhihakiwa, kutukanwa au kukosolewa bila staha. Tujitahidi kufikisha kero zetu kwa viongozi very diplomatically ataelewa, tujitahidi kutumia simu zetu kwmtizamo usioumiza mwingine ataelewa.
Hatuna nchi nyingine - hii ndiyo nchi tuliyozawadiwa na Mungu. Lkn pia kwa wasaidizi wa Rais jitahidini kutambua kero za kijamii na kuzitafutia suluhu haraka au kuzifikisha kwa Rais mapema kabla hazijaleta taharuki.
Kukawia kupata majawabu ya kero za kijamii ni kumchonganisha Rais na wananchi wake. Changamkeni.
Msakila Kabende Msakila
Kigoma.
Kuiba mali za Tanganyika ndiyo majibu ya shida za watu?BASI KAMA ANA SHOMBO SUBIRI MAJIBU YA SHIDA ZENU!
Akivuruga uchaguzi kama alivyovuruga Mchengelwa 2024 unamkosoaje kwa staha.?Tanzania ni taifa la kistaarabu sana - hata kipindi cha kudai Uhuru ustaarabu ndio uliotawala badala ya matumizi ya nguvu.
Sasa baada ya kuingia kwa vyama vingi vya siasa, na baada ya kupata maendeleo ya ktk sekta za mawasiliano hususan matumizi ya simu za mikononi - umejengeka utamaduni mbaya wa kutukana, kudhihaki, kunanga, au kubeza jitahada za viongozi wa juu wa Serikali.
* Cdm jiulizeni hivi ikitokea TAL akawa Rais mtapenda atukanwe? JE, mtakubali?
* ACT Wazalendo - hivi ikitokea mkapata Rais kesho mtapenda atukanwe au kudhihakiwa? JE, mtakubali?
* CUF - hivi ikitokea IHL akawa Rais kupitia chama chenu mtakubali atukanwe au kukejeliwa? JE, mtakubali?
* Kwa vyama ambavyo sijavigusa - ikitokea mkapata Rais kupitia vyama hivyo mtakubali atukanwe au kukosolewa bila staha? JE, mtakubali?
Vivyo hivyo kwa wanaccm na wapenda amani nchini hatupendi kuona Rais akidhihakiwa, kutukanwa au kukosolewa bila staha. Tujitahidi kufikisha kero zetu kwa viongozi very diplomatically ataelewa, tujitahidi kutumia simu zetu kwmtizamo usioumiza mwingine ataelewa.
Hatuna nchi nyingine - hii ndiyo nchi tuliyozawadiwa na Mungu. Lkn pia kwa wasaidizi wa Rais jitahidini kutambua kero za kijamii na kuzitafutia suluhu haraka au kuzifikisha kwa Rais mapema kabla hazijaleta taharuki.
Kukawia kupata majawabu ya kero za kijamii ni kumchonganisha Rais na wananchi wake. Changamkeni.
Msakila Kabende Msakila
Kigoma.
Nakubaliana na wewe!Tanzania ni taifa la kistaarabu sana - hata kipindi cha kudai Uhuru ustaarabu ndio uliotawala badala ya matumizi ya nguvu.
Sasa baada ya kuingia kwa vyama vingi vya siasa, na baada ya kupata maendeleo ya ktk sekta za mawasiliano hususan matumizi ya simu za mikononi - umejengeka utamaduni mbaya wa kutukana, kudhihaki, kunanga, au kubeza jitahada za viongozi wa juu wa Serikali.
* Cdm jiulizeni hivi ikitokea TAL akawa Rais mtapenda atukanwe? JE, mtakubali?
* ACT Wazalendo - hivi ikitokea mkapata Rais kesho mtapenda atukanwe au kudhihakiwa? JE, mtakubali?
* CUF - hivi ikitokea IHL akawa Rais kupitia chama chenu mtakubali atukanwe au kukejeliwa? JE, mtakubali?
* Kwa vyama ambavyo sijavigusa - ikitokea mkapata Rais kupitia vyama hivyo mtakubali atukanwe au kukosolewa bila staha? JE, mtakubali?
Vivyo hivyo kwa wanaccm na wapenda amani nchini hatupendi kuona Rais akidhihakiwa, kutukanwa au kukosolewa bila staha. Tujitahidi kufikisha kero zetu kwa viongozi very diplomatically ataelewa, tujitahidi kutumia simu zetu kwmtizamo usioumiza mwingine ataelewa.
Hatuna nchi nyingine - hii ndiyo nchi tuliyozawadiwa na Mungu. Lkn pia kwa wasaidizi wa Rais jitahidini kutambua kero za kijamii na kuzitafutia suluhu haraka au kuzifikisha kwa Rais mapema kabla hazijaleta taharuki.
Kukawia kupata majawabu ya kero za kijamii ni kumchonganisha Rais na wananchi wake. Changamkeni.
Msakila Kabende Msakila
Kigoma.
Sijaona - lkn tuenzi amani yetu tuRais mwenyewe ndiye mwenye maneno ya shombo ya taarab za mipasho.
Hujaona hilo?
Duuuu!Huyuhuyu mpumbavu ndiyo unatiririka uharo kwa ajili yake, kuna kamsemo ka wahenga 'you reap what you sow' hivyo huwa anapewa stahiki yake.
Acha kutetea juha asiyejielewa.
Kuenzi amani maana yake nini?Sijaona - lkn tuenzi amani yetu tu
Amani pia kwa hao wanaolawitiwa kwa nguvu huku wakirekodiwa au amani kwa waliotekwa na kupotezwa huku ndugu pamoja na sisi raia wote kwa ujumla wetu hatuelewi kama wako hai au wanekufa au amani kwa waliochukuliwa mbele ya hadhira na kwenda kuuawa na kung'ofolewa macho?Sijaona - lkn tuenzi amani yetu tu
Muda mwingine ni vyema kuepuka kuleta mada ambazo huwezi kuzitetea hadi mwisho, maana ulichokiandika hukijui hasa ukizingatia muktadha wa kisiasa uliopo sasa. Kuna hatari ya kuishia kutukanwa, halafu kuwaona wadau kama watu wabaya.Tanzania ni taifa la kistaarabu sana - hata kipindi cha kudai Uhuru ustaarabu ndio uliotawala badala ya matumizi ya nguvu.
Sasa baada ya kuingia kwa vyama vingi vya siasa, na baada ya kupata maendeleo ya ktk sekta za mawasiliano hususan matumizi ya simu za mikononi - umejengeka utamaduni mbaya wa kutukana, kudhihaki, kunanga, au kubeza jitahada za viongozi wa juu wa Serikali.
* Cdm jiulizeni hivi ikitokea TAL akawa Rais mtapenda atukanwe? JE, mtakubali?
* ACT Wazalendo - hivi ikitokea mkapata Rais kesho mtapenda atukanwe au kudhihakiwa? JE, mtakubali?
* CUF - hivi ikitokea IHL akawa Rais kupitia chama chenu mtakubali atukanwe au kukejeliwa? JE, mtakubali?
* Kwa vyama ambavyo sijavigusa - ikitokea mkapata Rais kupitia vyama hivyo mtakubali atukanwe au kukosolewa bila staha? JE, mtakubali?
Vivyo hivyo kwa wanaccm na wapenda amani nchini hatupendi kuona Rais akidhihakiwa, kutukanwa au kukosolewa bila staha. Tujitahidi kufikisha kero zetu kwa viongozi very diplomatically ataelewa, tujitahidi kutumia simu zetu kwmtizamo usioumiza mwingine ataelewa.
Hatuna nchi nyingine - hii ndiyo nchi tuliyozawadiwa na Mungu. Lkn pia kwa wasaidizi wa Rais jitahidini kutambua kero za kijamii na kuzitafutia suluhu haraka au kuzifikisha kwa Rais mapema kabla hazijaleta taharuki.
Kukawia kupata majawabu ya kero za kijamii ni kumchonganisha Rais na wananchi wake. Changamkeni.l
Msakila Kabende Msakila
Kigoma.
Mali gani zimeibiwa toka Tanganyika?Kuiba mali za Tanganyika ndiyo majibu ya shida za watu?
Mbuga, bandari, revenue collection kulipa watumishi wa umma Zanzibar. Umewahi kujiuliza ni kwanini anamilikisha coastline corridor ya Tanganyika na hafanyi hivyo kwa Zanzibar? Anajua Wazanzibari hawawezi kuukubali ujinga huo, mijitu ya bara mi bongolala inapelekeshwa kama ming’ombe na inakubali tu.Mali gani zimeibiwa toka Tanganyika?