Rais hawezi kumchukulia hatua RC Chalamila kwa sababu anamuogopa?

Aliwahi pia kusema ukimzingua anapaki gari mnachapana ngumi. Jamaa ni muongeaji tu lakini nadhani hana hulka ya uonevu kama kina makonda
 
Kuna video inasambaa ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akijinasibu kuwa na uwezo wa kujitwalia sheria mkononi na hakuna wa kumfanya lolote.

Hii ni mara nyingine tena Chalamila akijinasibu kuwa bingwa wa kuvunja sheria na taratibu bila kuogopa yeyote.

Hapo awali akiwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya alijinasibu kuwa endapo atamkuta kibaka ndani kwake, yeye jukumu lake ni kumuua na si kumpeleka kwenye sheria.

Hizi kauli na zinginezo tunazozisikia akiwa kwenye maeneo ya starehe ni wazi zinaonesha haiba, tabia na mwenendo wa aliyemteua kuwa zaidi ya mteule wake.

Tumeona Mkataba wa DP World ambapo umesainiwa na kila dalili za kupuuza maoni ya wananchi na wataalam.

Tumeona, namna ambavyo sheria ya kinga kwa wanausalama dhidi ya jinai ya kuua ikipitishwa bila kujali maoni ya wadau na kilio cha wananchi dhidi ya sheria hiyo

Kusaini sheria ya fedha 2021/2022 ambayo ilileta tozo mbaya iliyoua masoko ya fedha mtandao nchini ni kuwa aliyewezesha hilo hakuna wa kumfanya lolote.

Je, tusubiri kuona Chalamila akidhuru maisha ya watu hadharani ndo hatua zichukuliwe?

Sisi Watanzania tuna jukumu moja tu 2025, kuiwajibisha CCM kupitia sanduku la Kura kwa sababu imelea na kutuketea viongozi wahuni wasio na maadili na utu.

Jumapili ya baraka

Thread 'RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!' RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!
Aliposema hivyo kesho yake soko limeungua.
Yule jamaa hatutamsikia anatukana watu kwa muda mrefu.
Amekuwa much much calmer.
 
Chalamila is a silly buffoon.
Huyu jamaa hajajifunza yaliyowatokea ndugu zake Sabaya, Makonda na Ally Hapi....

Ni swala la muda tu, majuto huwa mjukuu
Nyienyie siyo mnajiongelea tu, Chalamila ni noma nyie. Wewe unafikiri kwanini samia alimtoa halafu akamrudisha.
Mama na Kamati kuu wenyewe wanaielewa nguvu ya Chalamila serikalini na ndani ya CCM
 
Kuna video inasambaa ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akijinasibu kuwa na uwezo wa kujitwalia sheria mkononi na hakuna wa kumfanya lolote.

Hii ni mara nyingine tena Chalamila akijinasibu kuwa bingwa wa kuvunja sheria na taratibu bila kuogopa yeyote.

Hapo awali akiwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya alijinasibu kuwa endapo atamkuta kibaka ndani kwake, yeye jukumu lake ni kumuua na si kumpeleka kwenye sheria.

Hizi kauli na zinginezo tunazozisikia akiwa kwenye maeneo ya starehe ni wazi zinaonesha haiba, tabia na mwenendo wa aliyemteua kuwa zaidi ya mteule wake.

Tumeona Mkataba wa DP World ambapo umesainiwa na kila dalili za kupuuza maoni ya wananchi na wataalam.

Tumeona, namna ambavyo sheria ya kinga kwa wanausalama dhidi ya jinai ya kuua ikipitishwa bila kujali maoni ya wadau na kilio cha wananchi dhidi ya sheria hiyo

Kusaini sheria ya fedha 2021/2022 ambayo ilileta tozo mbaya iliyoua masoko ya fedha mtandao nchini ni kuwa aliyewezesha hilo hakuna wa kumfanya lolote.

Je, tusubiri kuona Chalamila akidhuru maisha ya watu hadharani ndo hatua zichukuliwe?

Sisi Watanzania tuna jukumu moja tu 2025, kuiwajibisha CCM kupitia sanduku la Kura kwa sababu imelea na kutuketea viongozi wahuni wasio na maadili na utu.

Jumapili ya baraka

Thread 'RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!' RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!
Umenikumbusha mbali sana. Niliona kwenye mtandao methali 28:14-18. Kusoma nikakuta mstari ' waovu wakitawala uovu huongezeka ' .
 
Back
Top Bottom