Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Wa kwenu huyo!🤔Una maana gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wa kwenu huyo!🤔Una maana gani?
Huyo aliyemteua siyo kama hataki kumchukulia hatua ila akili zake, upeo wake wa kupembua mazuri na mabaya ndipo ulikoishia.Kuna video inasambaa ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akijinasibu kuwa na uwezo wa kujitwalia sheria mkononi na hakuna wa kumfanya lolote.
Hii ni mara nyingine tena Chalamila akijinasibu kuwa bingwa wa kuvunja sheria na taratibu bila kuogopa yeyote.
Hapo awali akiwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya alijinasibu kuwa endapo atamkuta kibaka ndani kwake, yeye jukumu lake ni kumuua na si kumpeleka kwenye sheria.
Hizi kauli na zinginezo tunazozisikia akiwa kwenye maeneo ya starehe ni wazi zinaonesha haiba, tabia na mwenendo wa aliyemteua kuwa zaidi ya mteule wake.
Tumeona Mkataba wa DP World ambapo umesainiwa na kila dalili za kupuuza maoni ya wananchi na wataalam.
Tumeona, namna ambavyo sheria ya kinga kwa wanausalama dhidi ya jinai ya kuua ikipitishwa bila kujali maoni ya wadau na kilio cha wananchi dhidi ya sheria hiyo
Kusaini sheria ya fedha 2021/2022 ambayo ilileta tozo mbaya iliyoua masoko ya fedha mtandao nchini ni kuwa aliyewezesha hilo hakuna wa kumfanya lolote.
Je, tusubiri kuona Chalamila akidhuru maisha ya watu hadharani ndo hatua zichukuliwe?
Sisi Watanzania tuna jukumu moja tu 2025, kuiwajibisha CCM kupitia sanduku la Kura kwa sababu imelea na kutuketea viongozi wahuni wasio na maadili na utu.
Jumapili ya baraka
Thread 'RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!' RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!
Muheshimu RaisHuyo aliyemteua siyo kama hataki kumchukulia hatua ila akili zake, upeo wake wa kupembua mazuri na mabaya ndipo ulikoishia.
Kosa mnalofanya ni kutaka wajinga wamchukulie hatua mjinga mwenzao. Hell no. Bila wananchi kuamka na kukiwasha hakuna kitakachobadilika bali hali itazidi kuwa mbaya.Mtu mfupi, kichwa kama kiazi mbatata halafu anavuta bangi chooni, unategemea nini?
Lazima aseme hovyo!! Mtu anakuambia anaweza kuchomoa mashine na hakuna wa kumfanya lolote!! Kwa kiswahili cha Dar es Salaam "mashine" ni kiungo cha siri cha kiume (mboo), sasa RC wa Dar anatushia kuchomoa mashine, bado vyombo vya TISS vimekaa kimya kuhusu huyu HAYAWANI wa Malangali Iringa. Shauri zenu
Huwezi kuheshimiwa iwapo hujiheshimu. Rais anaita katiba iliyomuweka madarakani ''kakitabu tu''? Peleka upumbavu wako huko na wewe.Muheshimu Rais
Muheshimu Rais.Huwezi kuheshimiwa iwapo hujiheshimu. Rais anaita katiba iliyomuweka madarakani ''kakitabu tu''? Peleka upumbavu wako huko na wewe.
Mkuu niliwaza hivyo hivyo kuhusu neno mashine. Lakini nikaepuka kuandika kwa sababu isije ikanizawadia ban.Mtu mfupi, kichwa kama kiazi mbatata halafu anavuta bangi chooni, unategemea nini?
Lazima aseme hovyo!! Mtu anakuambia anaweza kuchomoa mashine na hakuna wa kumfanya lolote!! Kwa kiswahili cha Dar es Salaam "mashine" ni kiungo cha siri cha kiume (mboo), sasa RC wa Dar anatushia kuchomoa mashine, bado vyombo vya TISS vimekaa kimya kuhusu huyu HAYAWANI wa Malangali Iringa. Shauri zenu
Halafu Jeshi la Police lipo kimya, kauli hii angeongea mtu ambaye either ni mwanasiasa upinzani au wa kawaida, hivi angekua mahabusu... shame PoliccmKuna video inasambaa ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akijinasibu kuwa na uwezo wa kujitwalia sheria mkononi na hakuna wa kumfanya lolote.
Hii ni mara nyingine tena Chalamila akijinasibu kuwa bingwa wa kuvunja sheria na taratibu bila kuogopa yeyote.
Hapo awali akiwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya alijinasibu kuwa endapo atamkuta kibaka ndani kwake, yeye jukumu lake ni kumuua na si kumpeleka kwenye sheria.
Hizi kauli na zinginezo tunazozisikia akiwa kwenye maeneo ya starehe ni wazi zinaonesha haiba, tabia na mwenendo wa aliyemteua kuwa zaidi ya mteule wake.
Tumeona Mkataba wa DP World ambapo umesainiwa na kila dalili za kupuuza maoni ya wananchi na wataalam.
Tumeona, namna ambavyo sheria ya kinga kwa wanausalama dhidi ya jinai ya kuua ikipitishwa bila kujali maoni ya wadau na kilio cha wananchi dhidi ya sheria hiyo
Kusaini sheria ya fedha 2021/2022 ambayo ilileta tozo mbaya iliyoua masoko ya fedha mtandao nchini ni kuwa aliyewezesha hilo hakuna wa kumfanya lolote.
Je, tusubiri kuona Chalamila akidhuru maisha ya watu hadharani ndo hatua zichukuliwe?
Sisi Watanzania tuna jukumu moja tu 2025, kuiwajibisha CCM kupitia sanduku la Kura kwa sababu imelea na kutuketea viongozi wahuni wasio na maadili na utu.
Jumapili ya baraka
Thread 'RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!' RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!
Mapolisi wengi ni wahalifu (siyo watuhumiwa) ndani ya sare.Halafu Jeshi la Police lipo kimya, kauli hii angeongea mtu ambaye either ni mwanasiasa upinzani au wa kawaida, hivi angekua mahabusu... shame Policcm
Wewe upo upande upi
Ndio Nchi yetu hiyo tuwe wavumilivuHuwa ana shida gani kuropoka ujinga ? Ana mihemko sanaaa....shida yake nini ? Au hana ubongo ?
Hiyo ni sifa kuu hasa ukiwa kile chama kilichochakaa na kuchacha.Nimemsikia mteule mmoja wa Rais akipiga Mkwara kwa anaowaongoza kwamba Yeye ni Mkorofi aliyepitiliza na Kushindikana kabisa
Ndio nauliza Ukorofi Uliopitiliza na Kushindikana ni Sifa ya Uongozi? Tena kwa nafasi ya Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoa!
Enendeni Ulimwenguni Kote😀
Umeona Eh! Lile takataka Chalamila, na Samia anamuacha na ushenzi wa matamko kama hayo!Nimemsikia mteule mmoja wa Rais akipiga Mkwara kwa anaowaongoza kwamba Yeye ni Mkorofi aliyepitiliza na Kushindikana kabisa
Ndio nauliza Ukorofi Uliopitiliza na Kushindikana ni Sifa ya Uongozi? Tena kwa nafasi ya Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama mkoa!
Enendeni Ulimwenguni Kote😀
Mawazo ya utumwaNdugu hata Mashuleni. Walimu walikuwa wakichagua mtu mkorofi kuwa kiranja au Monitor
Hata Magereza Mkorofi ndio anakuwa Nyapara.
Hivi nani kwa sasa Bongo anafuata utawala wa sheria? Ingekuwa kweli, kwa madudu lukuki yanayofanywa na wenye dhamana, lupango na kufilisiwa vingewahusu wengi wao.haamini katika utawala wa sheria