Rais hawezi kumchukulia hatua RC Chalamila kwa sababu anamuogopa?

Aliwahi pia kusema ukimzingua anapaki gari mnachapana ngumi. Jamaa ni muongeaji tu lakini nadhani hana hulka ya uonevu kama kina makonda
 
Aliposema hivyo kesho yake soko limeungua.
Yule jamaa hatutamsikia anatukana watu kwa muda mrefu.
Amekuwa much much calmer.
 
Chalamila is a silly buffoon.
Huyu jamaa hajajifunza yaliyowatokea ndugu zake Sabaya, Makonda na Ally Hapi....

Ni swala la muda tu, majuto huwa mjukuu
Nyienyie siyo mnajiongelea tu, Chalamila ni noma nyie. Wewe unafikiri kwanini samia alimtoa halafu akamrudisha.
Mama na Kamati kuu wenyewe wanaielewa nguvu ya Chalamila serikalini na ndani ya CCM
 
Umenikumbusha mbali sana. Niliona kwenye mtandao methali 28:14-18. Kusoma nikakuta mstari ' waovu wakitawala uovu huongezeka ' .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…