Rais Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu za pole kutoka kwa viongozi na taasisi mbalimbali baada ya kufiwa na Baba yake Hayati Ali Hassan Mwinyi

Tutafuteni Hela wakuu Hela inakufanya utakate na mambo yako yanyoke
Tatizo ni timing huwezi kupata pesa zamaana bila connection au timing nzuri, mtu una oa katika kaya masikini na wewe unatoka kaya masikini unategemea nini hapo? We mkuria mke wo mkuria wote mmekulia kijiji cha rolia wakulima nani atanyanyua mwezie hapo, hiyo ndo unaitwa vicious cycle of poverty,
 
Ndo maana nime ignore kucomment katika mavazi yake sisi kama taifa hatuna faida nalo ni suala lake binafsi, wewe ndo uka pendekeza mavazi ndo nikakuliza hilo suali.
Akiliona atalipokea mkuu relax au mdogo ake bwana Lucas washington mwashambwa atamfikishia.

We relax tu washa feni jipepee umeme umerudi
 
Akiliona atalipokea mkuu relax au mdogo ake bwana Lucas washington mwashambwa atamfikishia.

We relax tu washa feni jipepee umeme umerudi
Ata mimi naweza kumfikishia huo ujumbe kwamba wananchi hawatiki huvae vijora au madera taifa linapata hasara[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kiďing
 
Rais wa Zanzibar ana Ikulu yake nyingine huku Bara? Huu Muungano uvunjwe sasa
 
Madame supika nayaelewa mapigo yako
 
Kuna wana CCM wenzake wanataka kumpa pole ila hawana uwezo. Awatembelee mikoani huku wampe pole. Au mnasemaje wana CCM wanyonge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…