Mbuzi sharobaro
Member
- Mar 9, 2024
- 49
- 183
Kidumu chama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama hana tackle avaae nn? Maana nguo nyingine zinamdondokaTulia asiwe anavaa madera/vijora.....
Tatizo ni timing huwezi kupata pesa zamaana bila connection au timing nzuri, mtu una oa katika kaya masikini na wewe unatoka kaya masikini unategemea nini hapo? We mkuria mke wo mkuria wote mmekulia kijiji cha rolia wakulima nani atanyanyua mwezie hapo, hiyo ndo unaitwa vicious cycle of poverty,Tutafuteni Hela wakuu Hela inakufanya utakate na mambo yako yanyoke
Mkuu hiyo ni personal attackTulia asiwe anavaa madera/vijora.....
Ushauri kutoka kwa mtu mwenye mapenzi memaMkuu hiyo ni personal attack
Trouser tu za vitambaa then kichwani ndo anaweka mtandio.Sasa kama hana tackle avaae nn? Maana nguo nyingine zinamdondoka
Akiva kama unavo pendekeza sisi kama taifa tutafaidika je?Ushauri kutoka kwa mtu mwenye mapenzi mema
Kwani hapo alivovaa kijora umefaidikaje? Btw we ni Dk Tulia?Akiva kama unavo pendekeza sisi kama taifa tutafaidika je?
Ndo maana nime ignore kucomment katika mavazi yake sisi kama taifa hatuna faida nalo ni suala lake binafsi, wewe ndo uka pendekeza mavazi ndo nikakuliza hilo suali.Kwani hapo alivovaa kijora umefaidikaje? Btw we ni Dk Tulia?
Akiliona atalipokea mkuu relax au mdogo ake bwana Lucas washington mwashambwa atamfikishia.Ndo maana nime ignore kucomment katika mavazi yake sisi kama taifa hatuna faida nalo ni suala lake binafsi, wewe ndo uka pendekeza mavazi ndo nikakuliza hilo suali.
Ata mimi naweza kumfikishia huo ujumbe kwamba wananchi hawatiki huvae vijora au madera taifa linapata hasara[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kiďingAkiliona atalipokea mkuu relax au mdogo ake bwana Lucas washington mwashambwa atamfikishia.
We relax tu washa feni jipepee umeme umerudi
Rais wa Zanzibar ana Ikulu yake nyingine huku Bara? Huu Muungano uvunjwe sasaRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole nyumbani kwake Ikulu Laibon, Dar es Salaam kutoka kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson kufuatia kifo cha Aliyekuwa Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Marehemu Mzee Ali Hassan Mwinyi ambaye alifariki dunia tarehe: 29 Februari, 2024.
Madame supika nayaelewa mapigo yakoRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole nyumbani kwake Ikulu Laibon, Dar es Salaam kutoka kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson kufuatia kifo cha Aliyekuwa Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Marehemu Mzee Ali Hassan Mwinyi ambaye alifariki dunia tarehe: 29 Februari, 2024.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣