Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Rais wa Zanzibar mh Hussein Mwinyi amesema kuwa chanjo kwa Zanzibar ipo pale pale na kuongeza kuwa kama kina mtu hataki kupewa hiyo chanjo ni juu yake.
Na akasema kuwa isitokee watu wakaanza kuvumisha urongo kuwa hiyo chanjo imesababisha watu waliochanjwa kupoteza maisha.
Kama wazungu wananchanjwa inakuwaje sisi tuiogope kuchanjwa?
Hii hapa clip yake akiunguruma