Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwenzako kapewa urais na anapinga we kajamba nani povu la nini?Aliaminisha vingi na bado vinaishi, alipinga barakoa na unaona huyo Mwinyi anavaa barakoa akienda nje ya nchi tu na huyo Samia utafikiri yeye ndio mwenye corona maana anapokuwepo yeye ndio watu huvaa barakoa ila asipokuwepo watu hawana time na barakoa.
Nenda kamwambie mwanaccm mwenzio Hussein MwinyiCorona ya nchi hii huwa ipo na watu wanakufa sana huko jf,tweeter na insta ila mtaani huwa ipo kawaida tu,na vifo vimewah kutokea iĺa sio kama huku jf wanakosema watu wananguka kama kuku wa kideli.
Tokea corona ianze ,nmewah kusikia vifo viwili tu
Mjibu Mwinyi. sio mimi aiaeeHuyo Rais wa Zanzibar ambaye hadi sasa anaamini Zanzibar hakuna corona ndio unasema kamgeuka Jiwe? mbali na hiyo chanjo ni kipi chengine anafanya katika kuzuia maambukizi ya corona hapo Zanzibar? Akitumwa nje ya nchi anavaa barakoa akirudi Bongo anavua.
Sasa mtu kama huyo ndio unasema anapingana na Jiwe? hata huyo Jiwe angekuwepo angekuwa anawacheka vituko wanavyofanya.
Mimi nafikiri wangeweka kwamba hauwezi kuingia msikitini bila chanjo hapo ndio wangepata wengi ila hili la Hijja ni kwa wenye uwezo na kuna watu japo uwezo wanao ila hawana mawazo ya kwenda hijja.Huwezi kwenda Hija Saudi Arabia bila chanjo,Hija ni moja katika nguzo za uislamu,chanjo ni lazima hakuna njia nyingine.
Kwani Mwinyi comment yake ipo wapi humu?Mjibu Mwinyi. sio mimi aiaee
Hutaki hama nchi urudi kwenu RwandaAliaminisha vingi na bado vinaishi, alipinga barakoa na unaona huyo Mwinyi anavaa barakoa akienda nje ya nchi tu na huyo Samia utafikiri yeye ndio mwenye corona maana anapokuwepo yeye ndio watu huvaa barakoa ila asipokuwepo watu hawana time na barakoa.
"Kama mtu hataki... hiyo ni juu yake"
Ok ni kwamba aliyekufa na corona ni Maalim Seif hilo ndio halina shaka.Utajaza wewe
Wewe nani?Mimi nafikiri wangeweka kwamba hauwezi kuingia msikitini bila chanjo hapo ndio wangepata wengi ila hili la Hijja ni kwa wenye uwezo na kuna watu japo uwezo wanao ila hawana mawazo ya kwenda hijja.
Halafu wazungu vijana wanastruggle sana kuipata hii chanjo,, kwani bado inatolewa kwa upendeleo wa umri na wenye complications.Rais wa Zanzibar mh Hussein Mwinyi amesema kuwa chanjo kwa Zanzibar ipo pale pale na kuongeza kuwa kama kina mtu hataki kupewa hiyo chanjo ni juu yake.
Na akasema kuwa isitokee watu wakaanza kuvumisha urongo kuwa hiyo chanjo imesababisha watu waliochanjwa kupoteza maisha.
Kama wazungu wananchanjwa inakuwaje sisi tuiogope kuchanjwa?
Hii hapa clip yake akiunguruma
View attachment 1801761