Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Safii maana Utalii Zanzibar utakuwa juu
Huku bara tutegemee Maumivu tunajivuta vuta sana....
Huku bara tutegemee Maumivu tunajivuta vuta sana....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Mbuni naye akificha kichwa chake kichakani akaacha mwili nje naye anajisikia hivyo hivyo.Hata hivyo mi naangalia matokeo mtaani kwangu na ndugu zangu. Kwa upande wangu corona naikutaga jf tu nikitoka hapa huwa siioni tena na kuna wenzangu wasio na smartphone wao walishasahau kama kuna kitu kinaitwa corona hapa duniani
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Kwani huyo Shujaa mwengine nae kapitia na corona kama ilivyompitia Maalim seif? Maana Maali seif haina utata ni corona.Hamzungumzii Maalim Seif, anamzungumzia yule ‘shujaa’ mwingine!
Nimejulia humu humu JF, hawa waliyojua kuwa kifo chake ni corona na si kama tulivyotangaziwa ndio hawa hawa walisema Magufuli amechanja chanjo ya corona kisirisiri.Kachanjwa kisiri siri ila wewe umejua!!
🤣🤣🤣🤣
Mimi nimekujibu tu kwamba si Maalimu! Kama shujaa wenu hajafa na corona ni sawa tu, lakini kikubwa yeye na Maalimu hatunao tena!Kwani huyo Shujaa mwengine nae kapitia na corona kama ilivyompitia Maalim seif? Maana Maali seif haina utata ni corona.
Hao wote mashujaa.Mimi nimekujibu tu kwamba si Maalimu! Kama shujaa wenu hajafa na corona ni sawa tu, lakini kikubwa yeye na Maalimu hatunao tena!
Kwani yeye ni mali ya taifa?Kufa tu maana huna faida kwa taifa
Umeonekana ulikuwa umepotea vipi mshahara umepata wa ulinzi hapo Ufipa?? Nasikia mna miezi sita hampati mshahara makamanda na Faru John amesema mjitolee pia mtume michango yenu kwa Faru John.Watu kama hao saadam Hussein alikuwa anawapiga sumu tu
Ila wale wa kufa kwa maralia ama pumu kutangazwa wamekufa kwa corona, ni rukhusa! ( Nawaza kwa herufi kubwa)Na akasema kuwa isitokee watu wakaanza kuvumisha urongo kuwa hiyo chanjo imesababisha watu waliochanjwa kupoteza maisha.
Kila mtu wacha 'acheze mechi zake'....mwenye kuamini mtazamo wa 'mtemi Kinjeketile' sawa tu .......narudia tena ni vema kila mtu apambane na maisha yake. Kazi iendelee.Hata jiwe alikuwa na mawazo kama yako
Kama Tanganyika watachelewa kuingiza chanjo binafsi nitaenda Zanzibar kudungwaRais wa Zanzibar mh Hussein Mwinyi amesema kuwa chanjo kwa Zanzibar ipo pale pale na kuongeza kuwa kama kina mtu hataki kupewa hiyo chanjo ni juu yake.
Na akasema kuwa isitokee watu wakaanza kuvumisha urongo kuwa hiyo chanjo imesababisha watu waliochanjwa kupoteza maisha.
Kama wazungu wananchanjwa inakuwaje sisi tuiogope kuchanjwa?
Hii hapa clip yake akiunguruma
View attachment 1801761
Pole naona sidano imeingia sawa sawa ya chanjo (jokes). Mkuu upo tayari kuchukua "kadi hisa" ipi ya chadema-Saccos? ( serious).... wenu ....