Rais Hussein Mwinyi: Chanjo ya korona ipo pale pale, kama mtu hataki kuchanjwa hiyo ni juu yake

Rais Hussein Mwinyi: Chanjo ya korona ipo pale pale, kama mtu hataki kuchanjwa hiyo ni juu yake

Halafu wazungu vijana wanastruggle sana kuipata hii chanjo,, kwani bado inatolewa kwa upendeleo wa umri na wenye complications.
Mi nipo hapa ulaya nimefight kuipata lakini matumaini ni zero. Nilitaka nichanje kabla sijarudi Tz mwezi wa 8.
Sina uhakika home chanjo zitatolewaje.
Kiongozi pambana uipate hata mimi nimefanikiwa kuipata nikiwa hapa Nairobi
 
Hutaki hama nchi urudi kwenu Rwanda
Sitaki nini? hao wazungu huko ndio sasa kidogo wanaacha kuvaa barakoa na kurudi kama zamani kidogo kidogo kwa sababu ya hizo chanjo, ila huku Tz toka mwaka jana hakuna barakoa wala social distance hadi sasa hivi sasa ndio ujiulize hizo chanjo hawa viongozi wanazitaka ili kunusuru maisha ya wananchi wao au kuwafurahisha mabeberu?

Kama hadi sasa huyo Mwinyi havai hata barakoa ile kinafki tu kama Samia, ila ajabu et anasisitiza chanjo.🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sitaki nini? hao wazungu huko ndio sasa kidogo wanaacha kuvaa barakoa na kurudi kama zamani kidogo kidogo kwa sababu ya hizo chanjo, ila huku Tz toka mwaka jana hakuna barakoa wala social distance hadi sasa hivi sasa ndio ujiulize hizo chanjo hawa viongozi wanazitaka ili kunusuru maisha ya wananchi wao au kuwafurahisha mabeberu?

Kama hadi sasa huyo Mwinyi havai hata barakoa ile kinafki tu kama Samia, ila ajabu et anasisitiza chanjo.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hamna mambo tena nyinyi sukuma gang
 
Wewe una uhakika gani kwamba sitamaliza miaka kumi?
Au wewe unaona chanjo ndiyo tiket ya kuishi mda mrefu?
Kuna sehemu yeyote nimekwambia kua sina uhakika wa wewe kumaliza miaka 10?

Kuna sehemu yeyote nimekwambia kua chanjo ni tiketi ya kuishi muda mrefu?

Acha kunilisha maneno kama huna akili ya kusoma comment na kuelewa.
 
Back
Top Bottom