Rais Hussein Mwinyi: Chanjo ya korona ipo pale pale, kama mtu hataki kuchanjwa hiyo ni juu yake

Rais Hussein Mwinyi: Chanjo ya korona ipo pale pale, kama mtu hataki kuchanjwa hiyo ni juu yake

Sitaki nini? hao wazungu huko ndio sasa kidogo wanaacha kuvaa barakoa na kurudi kama zamani kidogo kidogo kwa sababu ya hizo chanjo, ila huku Tz toka mwaka jana hakuna barakoa wala social distance hadi sasa hivi sasa ndio ujiulize hizo chanjo hawa viongozi wanazitaka ili kunusuru maisha ya wananchi wao au kuwafurahisha mabeberu?

Kama hadi sasa huyo Mwinyi havai hata barakoa ile kinafki tu kama Samia, ila ajabu et anasisitiza chanjo.🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hizi chanjo watoto wanazochanjwa nchini kwann wanachanjwa na hakuna hayo magonjwa nchini?
 
Again, chanjo ile ni hiari na watu hawatodungwa kwa nguvu japo huko tuendako huenda ikawa mandatory kwa wasafiri nje ya Nchi kama ilivyo chanjo ya Yellow Fever
Naam, at the end ndio itakuwa hivi, husafiri kama huna chanjo ya covid. Jana nilikuwa nazungumza na jamaa yangu yupo Dubai, wao tayari mtoto harudi shule kama wazazi hawana chanjo. Utamsomesha mwenye kwako.
 
Kwani huyo Shujaa mwengine nae kapitia na corona kama ilivyompitia Maalim seif? Maana Maali seif haina utata ni corona.
Utata ulikuwepo na ndio maana kuna watu wakachukua mchanga wa kaburi lake na kwenda kusomea kuwa kama amekufa kwa ahadi sawa ila kama kuna mkono wa mtu basinae aende tu. Mara paap baadhi wakaanza kupukutika.
 
Hayo ya imani za kishirikina mimi nayaacha kama yalivyo ila nachojua mwenyewe alijitangaza kuwa ana corona na hakupona kafa.
 
Naam, at the end ndio itakuwa hivi, husafiri kama huna chanjo ya covid. Jana nilikuwa nazungumza na jamaa yangu yupo Dubai, wao tayari mtoto harudi shule kama wazazi hawana chanjo. Utamsomesha mwenye kwako.
Hiyo sasa ni lazima kuchanjwa na si hiari.
 
Naam, at the end ndio itakuwa hivi, husafiri kama huna chanjo ya covid. Jana nilikuwa nazungumza na jamaa yangu yupo Dubai, wao tayari mtoto harudi shule kama wazazi hawana chanjo. Utamsomesha mwenye kwako.
Sahihi kabisa
 
Utata ulikuwepo na ndio maana kuna watu wakachukua mchanga wa kaburi lake na kwenda kusomea kuwa kama amekufa kwa ahadi sawa ila kama kuna mkono wa mtu basinae aende tu. Mara paap baadhi wakaanza kupukutika.
Mungu ni mkubwa sana aisee kayasikia maombi ya waja wake
 
Huyo Rais wa Zanzibar ambaye hadi sasa anaamini Zanzibar hakuna corona ndio unasema kamgeuka Jiwe? mbali na hiyo chanjo ni kipi chengine anafanya katika kuzuia maambukizi ya corona hapo Zanzibar? Akitumwa nje ya nchi anavaa barakoa akirudi Bongo anavua.

Sasa mtu kama huyo ndio unasema anapingana na Jiwe? hata huyo Jiwe angekuwepo angekuwa anawacheka vituko wanavyofanya.
Hawa viongozi wetu wanafiki sana
 
Magonjwa gani hakuna?
Achana na maswali
Point ni kuwa Kuchanjwa si lazima kuwe na mlipuko nchini. Nchi inaweza isiwe na corona lakini raia wakachanjwa kujikinga na corona hivyo usishangae raisi kutovaa barakoa au raia kujiachia halafu raisi wao akawaambia kutakuwa na chanjo ya ugonjwa ambao wewe huoni kama upo nchini.
 
Back
Top Bottom