Mimi ntakuwa karibu kuwashika matkle bavicha ili chanjo iingie vizuriWacha Sukuma Gang waendelee kubwabwaja wakati dunia inasonga mbele!
Huyo Rais wa Zanzibar ambaye hadi sasa anaamini Zanzibar hakuna corona ndio unasema kamgeuka Jiwe? mbali na hiyo chanjo ni kipi chengine anafanya katika kuzuia maambukizi ya corona hapo Zanzibar? Akitumwa nje ya nchi anavaa barakoa akirudi Bongo anavua.Shujaa aliyepitwa na wakati tayari kasahauika.
Wewe MATAGA unayeng'angania mambo ya kipuuzi. Jiulize unafaidi nini?? Hussein Mwinyi aliyepewa urais kwa jasho na damu amemgeuka mwendazake Jiwe, wewe mwenzangu kajamba nani jipime una akili kweli?
Ndiyo maana hayupoHuyo Rais wa Zanzibar ambaye hadi sasa anaamini Zanzibar hakuna corona ndio unasema kamgeuka Jiwe? mbali na hiyo chanjo ni kipi chengine anafanya katika kuzuia maambukizi ya corona hapo Zanzibar? Akitumwa nje ya nchi anavaa barakoa akirudi Bongo anavua.
Sasa mtu kama huyo ndio unasema anapingana na Jiwe? hata huyo Jiwe angekuwepo angekuwa anawacheka vituko wanavyofanya.
Hata jiwe alikuwa na mawazo kama yakoHata hivyo mi naangalia matokeo mtaani kwangu na ndugu zangu. Kwa upande wangu corona naikutaga jf tu nikitoka hapa huwa siioni tena na kuna wenzangu wasio na smartphone wao walishasahau kama kuna kitu kinaitwa corona hapa duniani
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Hawezi kuwa na akiliShujaa aliyepitwa na wakati tayari kasahauika.
Wewe MATAGA unayeng'angania mambo ya kipuuzi. Jiulize unafaidi nini?? Hussein Mwinyi aliyepewa urais kwa jasho na damu amemgeuka mwendazake Jiwe, wewe mwenzangu kajamba nani jipime una akili kweli?
Aliaminisha vingi na bado vinaishi, alipinga barakoa na unaona huyo Mwinyi anavaa barakoa akienda nje ya nchi tu na huyo Samia utafikiri yeye ndio mwenye corona maana anapokuwepo yeye ndio watu huvaa barakoa ila asipokuwepo watu hawana time na barakoa.Sukuma gang hawataki kabisa maana mfadhili wao aliwaaminisha kuwa siyo salama
Nani Maalim seif aliyekufa na corona au unamzungumzia nani?Ndiyo maana hayupo
Corona ya nchi hii huwa ipo na watu wanakufa sana huko jf,tweeter na insta ila mtaani huwa ipo kawaida tu,na vifo vimewah kutokea iĺa sio kama huku jf wanakosema watu wananguka kama kuku wa kideli.Hata hivyo mi naangalia matokeo mtaani kwangu na ndugu zangu. Kwa upande wangu corona naikutaga jf tu nikitoka hapa huwa siioni tena na kuna wenzangu wasio na smartphone wao walishasahau kama kuna kitu kinaitwa corona hapa duniani
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app