The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Weka hiyo hotuba ili tujiridhishe.Ni memsikia rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali serikali ya muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waisilam wanapoenda hija. Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar inazuiwa kujianzishia mfuko? Au ni kanjia ka kunitaka serikali ya muungano igharamie ibada ya dini moja?
Anachokitafuta atakipata.Sisi ambao tunaenda kaperenaumu itakuwaje sasa. Huu ubaguzi
Mambo mawili yamenishtusha la kwanzaKilichokushtusha nini kwa hapo?
Mambo mawili yamenishtusha la kwanza ni Kwa nini serikali ianze kutoa hela kufadhili ibada?Mambo mawili yamenishtusha la kwanza
EeeenHeeee,Weka hiyo hotuba ili tujiridhishe.
Kwani hili linahitaji ruhusa ya serikali ya muungano? Mbona dogo sana hili.
JokaKuu Kiranga Pascal Mayalla Kalamu Nguruvi3