Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elewa kuwa Zanzibar ni nchi ya kiislamuMambo mawili yamenishtusha la kwanza ni Kwa nini serikali ianze kutoa hela kufadhili ibada?
La pili ni Kwa nini suala la kuanzisha mfuko wa kunufaisha ibada ya waisilamu Zanzibar uombewe kibali kwenye serikali ya muungano?
Hii ni point kubwa sanaKwa nini asianzishe mfuko kulisha masikini na yatima kwanza? Wakati mwingine sidhani hata kama hizi Dini huwa hata wanazielewa!
Kwa nini asianzishe mfuko kulisha masikini na yatima kwanza? Wakati mwingine sidhani hata kama hizi Dini huwa hata wanazielewa!
Kwani serikali inapowaomba wananchi wake waliombee taifa kuna tabu gani ikiwa watagharamia maombi hayo?Ni memsikia rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali serikali ya muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waisilam wanapoenda hija.
Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar inazuiwa kujianzishia mfuko? Au ni kanjia ka kunitaka serikali ya muungano igharamie ibada ya dini moja?
Sadakta,Zanzibar inahitaji mamlaka kamili,ijiamulie mambo yake,..Kwani wao kwa mapato ya serikali yao wameshindwaje ?
ni kwamba kodi zetu wakristo zianze kuchangia waislam kwenda hija ilhali wao huwa wanabomoa makanisa Zazibar
inaitwa Sadakatil jaria,katika dini ya Kiislamu kuna sadaka za aina nyingi..Ni rahisi kwa Rais Mwinyi kupata pesa za kulipia hijja kama akipewa ruhusa kutoka serikali ya Muungano. Mwinyi akiita mabalozi wa nchi za Arabuni hasa Oman na Qatar watampa pesa hizo maana wanaipenda sana Zanzibar.
Binafsi huwa sielewi hukm ya huu utaratibu wa waislamu kulipiwa na matajiri kwenda hijja maana dini inasema "hijja ifanywe na muislam mwenye uwezo" Allahu Aaalam.
Mara ya kwanza tangu yule adui wa taifa avamie na majeshi yake.Zenji iwe free mara ngapi?
#MaendeleoHayanaChama
Serikali ya Mwinyi sio ya mwanzo kukodisha visiwa,serikali zilizopita zilifanya pia,tafauti ya serikali ya Mwinyi ni kuwa yeye kaweka bayana..Awaache BAKWATA ZANZIBAR WAWEKE, YEYE AENDESHE SERIKALI, AJIBU HOJA ZA KUUZA VISIWA, UJENZI WA MASOKO, BARABARA....tenda kutolewa kindugu pamoja na majengo ya stone town kuuzwa.
Tinamkumbusha tu, hata wakristo huwa wanaenda kuhiji Israeli, na wao awaundie mfuko.
Nadhani anatafuta political scandal kama Ile ya IOC ya Dk Salmin Amour
VIPI NA WAKRISTO NA WAPAGANI?Ni memsikia rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali serikali ya muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waisilam wanapoenda hija.
Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar inazuiwa kujianzishia mfuko? Au ni kanjia ka kunitaka serikali ya muungano igharamie ibada ya dini moja?
Hayo malikimbizo Yana tokana na Nini mbona Kuna tetetesi kwamba wanapata 4% mapato kutoka kwenye gesi na mafuta kutoka Tanganyika ilihali gesi na mafuta sio suala la muungano?Elewa kuwa Zanzibar ni nchi ya kiislamu
Pili, Zanzibar kama nchi inadai fedha nyingi JMT ikiwa ni malimbikizo ya mgao wake wa mapato ya Muungano
Hakuna BAKWATA ZanzibarAwaache BAKWATA ZANZIBAR WAWEKE, YEYE AENDESHE SERIKALI, AJIBU HOJA ZA KUUZA VISIWA, UJENZI WA MASOKO, BARABARA....tenda kutolewa kindugu pamoja na majengo ya stone town kuuzwa.
Tinamkumbusha tu, hata wakristo huwa wanaenda kuhiji Israeli, na wao awaundie mfuko.
Nadhani anatafuta political scandal kama Ile ya IOC ya Dk Salmin Amour
Hata ndoa hufanywa na mwenye uwezo.Ni rahisi kwa Rais Mwinyi kupata pesa za kulipia hijja kama akipewa ruhusa kutoka serikali ya Muungano. Mwinyi akiita mabalozi wa nchi za Arabuni hasa Oman na Qatar watampa pesa hizo maana wanaipenda sana Zanzibar.
Binafsi huwa sielewi hukm ya huu utaratibu wa waislamu kulipiwa na matajiri kwenda hijja maana dini inasema "hijja ifanywe na muislam mwenye uwezo" Allahu Aaalam.