Rais Hussein Mwinyi kuongea na Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia Waislam

Elewa kuwa Zanzibar ni nchi ya kiislamu

Pili, Zanzibar kama nchi inadai fedha nyingi JMT ikiwa ni malimbikizo ya mgao wake wa mapato ya Muungano
Ilitangazwa lini kuwa Islamic state na ikiwa ni hivyo si wajianzishie tu huo mfuko why kuiomba serikali ya muungano?
 
Mimi mwenyewe Nina ndoto ya kwenda Israel kuhiji, ikitokea tuu kuna mfuko huo kuundwa basi nasisi pia wengine tuundiwe. Lakini hili si nisuala binafsi kuhiji! Wawe wanakopa kwenye BANK watalipa taratibu mara baada ya kurudi kutoka mecca
 
Ni memsikia rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali serikali ya muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waisilam wanapoenda hija.

Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar inazuiwa kujianzishia mfuko? Au ni kanjia ka kunitaka serikali ya muungano igharamie ibada ya dini moja?
Lakini uislamu unaruhusu kutumia mali ya wasio waislamu kueneza uislamu sio haramu, ajadili na uongozi wa bara huo mfuko uundwe ili waislamu wa zazibar wasio jiweza waweze kutimiza nguzo muhimu, hilo litadumishà muungano zaidi
 
Ni memsikia rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali serikali ya muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waisilam wanapoenda hija.

Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar inazuiwa kujianzishia mfuko? Au ni kanjia ka kunitaka serikali ya muungano igharamie ibada ya dini moja?
Jambo jema
MashaaAllah ♥️
 
inaitwa Sadakatil jaria,katika dini ya Kiislamu kuna sadaka za aina nyingi..

Kumpeleka mtu Makka ni moja katika hizo sadaka..

Dangote anawapeleka zaidi ya wailamu 50 kwenda Makka kuhiji kila mwaka..
Haitakiwi kuomba
 
Ni memsikia rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali serikali ya muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waisilam wanapoenda hija.

Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar inazuiwa kujianzishia mfuko? Au ni kanjia ka kunitaka serikali ya muungano igharamie ibada ya dini moja?
Lazima apate idhini ya SJMT
 
Ndio mana tunasema Zanzibar haiko huru, na huyu rais wa Zanzibar yeye bado anacheka cheka maana si mzanzibar hili jambo halimuumi, na sio kibali cha mfuko tu ata Rais wa Zanzibar kusafiri nje ya nchi kibali kinatoka huko huko uchogoni
 
Ni memsikia rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali serikali ya muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waisilam wanapoenda hija.

Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar inazuiwa kujianzishia mfuko? Au ni kanjia ka kunitaka serikali ya muungano igharamie ibada ya dini moja?
Taratibu Rais Mwinyi anaanza kupoteza njia.
Hizi populist tendencies zinaweza mgharimu.
Tunakumbushia suala la IOC lililotaka kuvunja muungani na kunzisha G55 bungeni.
Namsihi aachie yule anayetaka kwenda kuhiji ajigharamie, sio uchota fedha za pamba. kahawa na chai kufaidisha imani ya watu ambao kuhiji ni jukumu ao, si la serikali.
 
Kwani wao kwa mapato ya serikali yao wameshindwaje ?

ni kwamba kodi zetu wakristo zianze kuchangia waislam kwenda hija ilhali wao huwa wanabomoa makanisa Zazibar

Tatizo mulileta majeshi mkauwa watu ili mumuweke yeye kwenye kiti cha uraisi, Sasa mnalalamika kitu gani ? Muwacheni kibaraka wenu ajifaraguwe
 
Elewa kuwa Zanzibar ni nchi ya kiislamu

Pili, Zanzibar kama nchi inadai fedha nyingi JMT ikiwa ni malimbikizo ya mgao wake wa mapato ya Muungano
Muungano hauna mapato, bali yale mapato ya Tanganyika hubatizwa na kuitwa mapato ya Muungano!!
 
Ta
Ataongea na Dada yake,na hili jambo huenda likafanyika!
Bila shaka tayari walishayaongea!! Maandalizi ni kutoa migao wa kufa mtu kila mara wakati Jamhuri ya muungano (Tanganyika) inapopata mkopo!! Kwa hiyo pesa ya kuwasidia "ndugu" tayari wanayo na wataendelea kuipata. Kilichobaki ni kurasimisha kwa "kupeleka kesi ya ngedere kula mahindi kwa nyani"!!
 
Nilisoma mahali Watu wa Zanzibar wanapinga kubadili katiba kwa sasa? je hii ni kweli? Nilidhani wangependa wajipe serikali huru kumbe wanafaidi kitumbua cha muungano kwa sasa.
 
Back
Top Bottom