Rais Hussein Mwinyi kuongea na Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia Waislam

Rais Hussein Mwinyi kuongea na Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia Waislam

Awaache BAKWATA ZANZIBAR WAWEKE, YEYE AENDESHE SERIKALI, AJIBU HOJA ZA KUUZA VISIWA, UJENZI WA MASOKO, BARABARA....tenda kutolewa kindugu pamoja na majengo ya stone town kuuzwa.
Tinamkumbusha tu, hata wakristo huwa wanaenda kuhiji Israeli, na wao awaundie mfuko.

Nadhani anatafuta political scandal kama Ile ya IOC ya Dk Salmin Amour
Hivi kumbe ilikuwa ya salmin? Siku zote nikijua ilikuwa ya babake
 
Awaache BAKWATA ZANZIBAR WAWEKE, YEYE AENDESHE SERIKALI, AJIBU HOJA ZA KUUZA VISIWA, UJENZI WA MASOKO, BARABARA....tenda kutolewa kindugu pamoja na majengo ya stone town kuuzwa.

Tunamkumbusha tu, hata wakristo huwa wanaenda kuhiji Israeli, na wao awaundie mfuko.

Nadhani anatafuta political scandal kama Ile ya IOC ya Dk Salmin Amour
Wakriso sio mfuko tu munao mpaka ubalozi wa vatikan munao hapa
 
Ni memsikia rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali serikali ya muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waisilam wanapoenda hija.

Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar inazuiwa kujianzishia mfuko? Au ni kanjia ka kunitaka serikali ya muungano igharamie ibada ya dini moja?
Hiyo pesa ya mfuko wanataka iwe suala la Muungano ili Hazina / Bank Kuu watoe pesa
 
Sadakta,Zanzibar inahitaji mamlaka kamili,ijiamulie mambo yake,..

Zanzibar haihitaji kitumia kodi za Wakristo kwa kuwapeleka Waislamu wa Zanzibar Makka..

Hija za Waislamu wa Zanzibar batil ni ,Allah haewezi kuzikubali kama wanakwenda Makka kwa kutumia kodi za Wakristo..

Zanzibar inahitaji mamlaka kamili ili kuepukana na haya mazonge

Zanzibar wakristo hawalipi Kodi?
 
Mambo mawili yamenishtusha la kwanza ni Kwa nini serikali ianze kutoa hela kufadhili ibada?

La pili ni Kwa nini suala la kuanzisha mfuko wa kunufaisha ibada ya waislamu Zanzibar uombewe kibali kwenye serikali ya muungano?
Kuna ubaya gani,
 
Habari za Udini zinaanzaga taratibu tu na vidalili kama hivi huwa vinatakiwa kukemewa haraka sana la sivyo yatakuja kama yale ya JK kipindi kile. Udini mpaka maofisini.
 
Serikali ya Mwinyi sio ya mwanzo kukodisha visiwa,serikali zilizopita zilifanya pia,tafauti ya serikali ya Mwinyi ni kuwa yeye kaweka bayana..

Hao Wakristo wanaokwenda Israel kuhiji ni Wakristo fake,ni Watu wanaotafuta sababu za kwenda Israel kutembea..

Hamna hata andiko moja katika agano jipya au la kale linalosema kuwa wale wanaoamini dini iliyotangazwa na kuhubiriwa na Yesu aka Jesus,aka Yesu kuwa waende Israel kuhiji..
Wakati anakodisha visiwa hakusema ataenda kuongea na serikali ya JMT, kwanini kuanzisha mfuko wa waislam wa zanzibar kwenda hijja anataka kuongea na serikali ya JMT?
Kwanini asichukue hizo hela alizokodisha visiwa akawapa waislam wa zanzibar waende hijja?
 
Back
Top Bottom