The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Off course inashtua. Serikali kughalamikia safari binafsi ..... Na Waroma ambao huwa wanakwenda kuhuji Roma nao wakiomba wawezeshwe itakuwaje ......!!?Umeshtushwa nini sass?
Waislamu wanatakiwa kwenda Hijja pale wanapokuwa uwezo huo .... Kama huna unabanana humuhumu. Hili la kuwawezeshana litatarget watu wachache tu na siyo sustainable. Anataka kujipatia umaarufu bila sababu ya maana .....!!