Rais Hussein Mwinyi kuongea na Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia Waislam

Rais Hussein Mwinyi kuongea na Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia Waislam

Mf
Mambo ya ndani ya Zanzibar sio mambo ya Mungano..

Mikopo na misaada kutoka nchi za nje ni mambo ya Mungano

NGO za kiislam zinatoa misaada ya mfuko wa Hijja lakini hazifiki Zanzibar direct,zinafikia kwenye serikali ya Mungano,..

Hizo ndio pesa Mwinyi anazozizungumzia
Mfano NGO gani ya kiislam ilitoa msaada Tanganyika, wa shilingi ngapi ambazo zilitakiwa Kwenda Zanzibar hazikwenda?
 
Na mimi namuomba Mama anisaidie nauli nikamuone mke wa Yesu kule Israel,maana ni miaka mingi imepita sijaenda.

Mimi Tanzania sihami Ila wanangu ruksa wakitaka kuhama nchi.

Unahamaje, kwenye stress free country ya Tanzania?
Da nimecheka Sana kaka sijui ndugai kaiona hii
 
Ili kuondoa upendeleo,huo mfuko uwe kwa kila anayetaka kwenda kuhiji(hata wakristo huenda hija,Israel).
Kama vile serikali ikiombwa huwa inapunguza Kodi au kutoa ruzuku kwa taasisi za kidini,kama hospitari na shule.basi huo mfuko usiwe kwa Islam peke yao,hiyo pesa ni Kodi ya umma,haiwezi kutumika kuendeleza dini moja,

Hakuna hija isipokuwa kwenye uislamu
 
Mkuu mbona unamsakama sana mheshimiwa Rais kwa mambo mazito hivyo?

Issue ya (a) visiwa kila akikutana na wanahabari huwa anagusia maana maswali huwa hayakosekani, but yeye ndiye wa kwanza kufanya hivyo?.

(b) masoko na barabara yanayojengwa bububu, kwerekwe ni pesa mliyokuwa mnapiga kuruhusu mizigo ya rafiki na ndg zenu pale bandarini au uwanja wa ndege.

Pale darajani ni mkataba kati wa watu binafsi, serikali na chama cha mapinduzi.

Huyo Si Raisi ni tapeli kibaraka aliyewekwa Na Magufuli kuimaliza Zanzibar , alianza Na magarini ya kujitia misikitini kuzubaisha watu lakini ummar umeshamstukia. Siku zake zinahesabika ataondoka Tu muuwaji huyo
 
Nimemsikia Rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waislam wanapoenda Hija.

Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar inazuiwa kujianzishia mfuko? Au ni kanjia ka kuitaka Serikali ya Muungano igharamie ibada ya dini moja?
Polepole naona dish limeanza kuyumba
 
Kwani wao kwa mapato ya Serikali yao wameshindwaje?

Ni kwamba kodi zetu wakristo zianze kuchangia waislam kwenda hija ilhali wao huwa wanabomoa makanisa Zazibar
Umepotosha mpaka nikajisikia kicheko
 
Nimemsikia Rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waislam wanapoenda Hija.

Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar inazuiwa kujianzishia mfuko? Au ni kanjia ka kuitaka Serikali ya Muungano igharamie ibada ya dini moja?
Washaanza tena..!! Kwa hiyo wale wasio waislamu na ambao huwa wanakwenda hija nao watengewe mfuko wao? Halafu hao wasio waislamu, nani awapelekee ombi lao kwa serikali ya muungano? Hivi nini kinampa ujasili wa kupeleka maombi hayo? Au wazanzibari kuwepo madarakani pande zote? Au waislamu kuwepo madarakani pande zote..!!?? Hatari
 
Mf
Mfano NGO gani ya kiislam ilitoa msaada Tanganyika, wa shilingi ngapi ambazo zilitakiwa Kwenda Zanzibar hazikwenda?
Kwavile Zanzibar hairuhusiwi kupata mikopo ya nje,

mikopo yote ya nje inatolewa kwa jina la Tanzania,

Zanzibar inabidi iipigie Magoti Tanganyika kuomba mgao wake..

Zanzibar ni kama Palestina ndani ya Israel,haina uhuru wa kujiwezesha
 
Nimemsikia Rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waislam wanapoenda Hija.

Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar inazuiwa kujianzishia mfuko? Au ni kanjia ka kuitaka Serikali ya Muungano igharamie ibada ya dini moja?
Ngoja tusubiri ukweli
 
Uhuru wa kusaini mikataba ya kimataifa, uhuru wa kuwa na mwakilishi UN, uhuru wa kuwa na benki kuu yetu, sarafu yetu, uhuru wa kuchagua tunayemtaka siyo hao vibaraka wenu mnaotulazimishia mpaka mnauwa.
Wewe mwarabu hayo yote kama hayapo zenji..nakushauri nenda oman utayapata yote.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuna za riba ambayo ni haramu kwenye uislamu,kuna kodi za pombe ambazo ndizo nyingi

Breweries itaanza kupeleka watu hija
Hija kwa msaada wa kodi ya kiwanda cha kutengeneza kimea...hii imekaa poa sana.

Anyway watasema hakuna hela haramu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwavile Zanzibar hairuhusiwi kupata mikopo ya nje,

mikopo yote ya nje inatolewa kwa jina la Tanzania,

Zanzibar inabidi iipigie Magoti Tanganyika kuomba mgao wake..

Zanzibar ni kama Palestina ndani ya Israel,haina uhuru wa kujiwezesha
JKN alikosea sana kuacha zenji alitakiwa afyekelee mbali kabisa zenji..ibaki serikali moja tu..hawa watu wameanza kua mwimba ndani ya muungano wetu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kama zazibar itawekewa mfuko huo na waislamu wa bara pia watahitaji huo mfuko ilihali ni wengi kuliko waislamu wa Zanzibar
Huwezi kutaka kitu tu kwa vile mwenzio wmekihitaji. Huo unakuwa ni tamaa na wivu wa kijinga.
 
Back
Top Bottom