Rais Hussein Mwinyi kuongea na Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia Waislam

Rais Hussein Mwinyi kuongea na Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia Waislam

Kiasi ujambe hivyo kwani mapato yote ya bait la jaibu Na sehemu Za historia Zanzibar yanapelekwa Tanganyika Na Pia pesa Za viza zote Za wanaingia Airport Na bandarini zinakwapuliwa Na Tanganyika pesa Za Wazanzibari walioko nje zinaingia Tanganyika nk
Sioni uhalisia na unachokisema leta data hapa, usiupoteshe umma. Wao wanakusanya kodi yao na wala haiwatoshi Bara wanawasaidia.
 
Mimi mwenyewe Nina ndoto ya kwenda Israel kuhiji, ikitokea tuu kuna mfuko huo kuundwa basi nasisi pia wengine tuundiwe. Lakini hili si nisuala binafsi kuhiji! Wawe wanakopa kwenye BANK watalipa taratibu mara baada ya kurudi kutoka mecca
Suala la kwenda kuhiji Israel halimo kwenye bible
 
Wewe mwarabu hayo yote kama hayapo zenji..nakushauri nenda oman utayapata yote.

#MaendeleoHayanaChama
Na wewe unasemaje huyu anayelipwa mshahara na pesa za kodi kufanya haya?

job_ndugai_jerusalem_FB_IMG_1655547228361.jpg
 
Nimemsikia Rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waislam wanapoenda Hija.

Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar inazuiwa kujianzishia mfuko? Au ni kanjia ka kuitaka Serikali ya Muungano igharamie ibada ya dini moja?
Sheikh, kwani Kuna shida wakijadiliana?
 
Elewa kuwa Zanzibar ni nchi ya kiislamu

Pili, Zanzibar kama nchi inadai fedha nyingi JMT ikiwa ni malimbikizo ya mgao wake wa mapato ya Muungano
Zanzibar siyo nacho ya kiislaamu ingawa, inadi kubwa ya wa Isilaam.
 
Huyo Si Raisi ni tapeli kibaraka aliyewekwa Na Magufuli kuimaliza Zanzibar , alianza Na magarini ya kujitia misikitini kuzubaisha watu lakini ummar umeshamstukia. Siku zake zinahesabika ataondoka Tu muuwaji huyo
Sheikh mswalie mtume, kauli ya kihafidhina hiyo aseee!.
 
Mnacho kata ni misaada tu lini nyie mtajisaidie..lazy piece of..

Ndio mana kila siku kulia lia.

#MaendeleoHayanaChama
Hatutaki msaada,tunata kujing'amua kutoka katika kuomba misaada kutoka Tanganyika,misaada ambayo kwa ukweli ni haki yetu
 
Nimemsikia Rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waislam wanapoenda Hija.

Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar inazuiwa kujianzishia mfuko? Au ni kanjia ka kuitaka Serikali ya Muungano igharamie ibada ya dini moja?
Usistushwe na sisi wakristo tutaomba mfuko wa kutusaidia kwenda Jerusalem
 
Hatutaki msaada,tunata kujing'amua kutoka katika kuomba misaada kutoka Tanganyika,misaada ambayo kwa ukweli ni haki yetu
Kama ni haki yenu kwa nini muombe maana malalamiko yalikuwa waisilamu kukabiliwa na hali ngumu kiuchumi na kushindwa kumudu gharama za kwenda hija hivyo kuiomba serikali iwapunguzie makali sasa hapo ukisema hutaki misaada hiki tuiteje kama sio msaada
 
Dawa ya haya mazonge hususan kuhusu hii omba omba inayofanywa na Zanzibar ni kuipa Zanzibar mamlaka yake kamili..

Kwa mantiki hiyo Waislam wa Zanzibar hawatowapigia tena kelele Watanganyika kwenye mambo kama haya
 
JKN alikosea sana kuacha zenji alitakiwa afyekelee mbali kabisa zenji..ibaki serikali moja tu..hawa watu wameanza kua mwimba ndani ya muungano wetu.

#MaendeleoHayanaChama
Icho kitu hakiwezekani,bila ya Zanzibar hakuna CCM
 
Back
Top Bottom