chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,380
- 5,884
Tangu Samia Suluhu Hassan kaitangaza Tanzania kwenye Utalii,cha kushangaza ni kuwa ndege nyingi za Watalii zinatua Zanzibar kuliko Tanganyika..Mapato ya kuuza urojo yanatosha kweli?
Nchi yoyote inayoweza kuingiza pesa za kigeni ki utalii basi ujue hiyo nchi ni tajiri
Population ndogo,watu wa dini moja,uchumi stable,kila masaa watu wanakuletea madola kwa njia ya utalii,.
Zanzibar ipate nini tena,sijui kwanini inachelewa kutoka kwenye hili janga la Mungano..
Mungano unaleta umasikini ZANZIBAR..!!