Aliyetaka data Za serikali ni wewe Na unasema serikali haishughuliki Na mambo madogo madogo , Sasa hizo data uzitakazo zitapatikan wapi serikalinii???Hoja ni yako mzee sio yangu, huna basi achana nayo.
Kwa hiyo inayapa ili yafanyie ibada? Nijuavyo mimi makanisa hupewa ruzuku ili iwahudumie raia wote Kwa niaba ya serikali. Na ni makubaliano yanayotokana na ukweli kwamba serikali ilipora mali za kanisaMbona hujawai kushituka serikali kila mwaka inatoa ruzuku kuyapa makanisa mabilion ya pesa ? Tangu miaka ya 90+ baada ya mkataba wa Mou
Wenye access wampelekee hatutaki haya mauzauzaHilo pendekezo mpelekee Mwinyi
Kwani serikali ilipora Mali Za kanisa tu ?Kwa hiyo inayapa ili yafanyie ibada? Nijuavyo mimi makanisa hupewa ruzuku ili iwahudumie raia wote Kwa niaba ya serikali. Na ni makubaliano yanayotokana na ukweli kwamba serikali ilipora mali za kanisa
Alikuambia Nani wende huko? Biblia ipi unatumia ?Sisi ambao tunaenda kaperenaumu itakuwaje sasa. Huu ubaguzi
Kanisa haikuwahi kuporwa Mali yoyote ile Bali imekuwa ikiangaliwa kwa jicho la tatu na misaada kama yote na hiyo ni sera endelevu kupitia uingereza hata kama serikali ilichukuwa Mali ya Kanisa nikuwazuga tu upande wa pili. Hata hizo nazo mungu ataziumbua tu ipo sikuKwani serikali ilipora Mali Za kanisa tu ?
Umenena vyema kabisa hata ssh juzi kati alisema zanzibar ni eneo hatari..hao jamaa sio wakuwaachia hicho kisiwa...lazima kiendelew kuwa koloni la Tanganyika kwa koti la JMT..huku tukielekea kuwa na serikali moja tu ya JMT.Tunako elekea Zanzibar itakuja kuwa kichwa ngumu kama Taiwan ilivyo kwa China. Lazima ibadilishwe haraka iwe mikoa 3 ya Tanzania.
Ndoto za Alinacha hizo !!!Tunako elekea Zanzibar itakuja kuwa kichwa ngumu kama Taiwan ilivyo kwa China. Lazima ibadilishwe haraka iwe mikoa 3 ya Tanzania.
Tukifa Wazanzibari karma inawanyoosha ,jinchi tajiri kuliko nchi nyingi duniani lakini inashindwa na visiwa vya SychellesUmenena vyema kabisa hata ssh juzi kati alisema zanzibar ni eneo hatari..hao jamaa sio wakuwaachia hicho kisiwa...lazima kiendelew kuwa koloni la Tanganyika kwa koti la JMT..huku tukielekea kuwa na serikali moja tu ya JMT.
#MaendeleoHayanaChama
Duh !! Kazi Kweli Kweli 😅Tukifa Wazanzibari karma inawanyoosha ,jinchi tajiri kuliko nchi nyingi duniani lakini inashindwa na visiwa vya Sychelles
Maraisi wakristo wanaendekeza kuuwa watu , Nyerere, Mkapa, Magufuli yote miuwaji na minyang'anyiAtakuwa ashakubaliana na dada yake wachote mafungu bara kwa kisingizio cha muungano.
Tanzania kila inapoongozwa na rais mwislamu huwa ni shida tu. Huendekeza dini kuliko maslahi ya nchi.
Huyo ni mtanganyika hana uislamu wowote zaidi ya Usanii.Wanataka Kuleta Yale mambo ya ioc.. Kuhiji jambo binafsi nchi inahusikaje?
Rafiki dini sio Mungu. Na kuwa na dini si lazima uwe na Mungu. Wengi wenye dini huwa hawana Mungu lakini wenye Mungu yumkini wanaweza kuwa na dini fulaniKwa nini asianzishe mfuko kulisha masikini na yatima kwanza? Wakati mwingine sidhani kama hizi Dini huwa hata wanazielewa!
Kwahiyo waislamu no wazenji tu?! AstakafululahiHuyo ni mtanganyika hana uislamu wowote zaidi ya Usanii.
Ila nyie nisawa Kwenye kuwa mpaka na balozi hapa kutoka Vatican je Vatican ni nchi hapana ni kiungo Cha wakiristo Hilo hulioni we zezetaWanataka Kuleta Yale mambo ya ioc.. Kuhiji jambo binafsi nchi inahusikaje?