Rais Hussein Mwinyi kuongea na Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia Waislam

Rais Hussein Mwinyi kuongea na Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia Waislam

Hoja ni yako mzee sio yangu, huna basi achana nayo.
Aliyetaka data Za serikali ni wewe Na unasema serikali haishughuliki Na mambo madogo madogo , Sasa hizo data uzitakazo zitapatikan wapi serikalinii???
 
Mbona hujawai kushituka serikali kila mwaka inatoa ruzuku kuyapa makanisa mabilion ya pesa ? Tangu miaka ya 90+ baada ya mkataba wa Mou
Kwa hiyo inayapa ili yafanyie ibada? Nijuavyo mimi makanisa hupewa ruzuku ili iwahudumie raia wote Kwa niaba ya serikali. Na ni makubaliano yanayotokana na ukweli kwamba serikali ilipora mali za kanisa
 
Kwani serikali ilipora Mali Za kanisa tu ?
 
Tunako elekea Zanzibar itakuja kuwa kichwa ngumu kama Taiwan ilivyo kwa China. Lazima ibadilishwe haraka iwe mikoa 3 ya Tanzania.
 
Kwani serikali ilipora Mali Za kanisa tu ?
Kanisa haikuwahi kuporwa Mali yoyote ile Bali imekuwa ikiangaliwa kwa jicho la tatu na misaada kama yote na hiyo ni sera endelevu kupitia uingereza hata kama serikali ilichukuwa Mali ya Kanisa nikuwazuga tu upande wa pili. Hata hizo nazo mungu ataziumbua tu ipo siku
 
Tunako elekea Zanzibar itakuja kuwa kichwa ngumu kama Taiwan ilivyo kwa China. Lazima ibadilishwe haraka iwe mikoa 3 ya Tanzania.
Umenena vyema kabisa hata ssh juzi kati alisema zanzibar ni eneo hatari..hao jamaa sio wakuwaachia hicho kisiwa...lazima kiendelew kuwa koloni la Tanganyika kwa koti la JMT..huku tukielekea kuwa na serikali moja tu ya JMT.

#MaendeleoHayanaChama
 
Tukifa Wazanzibari karma inawanyoosha ,jinchi tajiri kuliko nchi nyingi duniani lakini inashindwa na visiwa vya Sychelles
 
Wanataka Kuleta Yale mambo ya ioc.. Kuhiji jambo binafsi nchi inahusikaje?
 
Atakuwa ashakubaliana na dada yake wachote mafungu bara kwa kisingizio cha muungano.

Tanzania kila inapoongozwa na rais mwislamu huwa ni shida tu. Huendekeza dini kuliko maslahi ya nchi.
 
Atakuwa ashakubaliana na dada yake wachote mafungu bara kwa kisingizio cha muungano.

Tanzania kila inapoongozwa na rais mwislamu huwa ni shida tu. Huendekeza dini kuliko maslahi ya nchi.
Maraisi wakristo wanaendekeza kuuwa watu , Nyerere, Mkapa, Magufuli yote miuwaji na minyang'anyi
 
Wanataka Kuleta Yale mambo ya ioc.. Kuhiji jambo binafsi nchi inahusikaje?
Huyo ni mtanganyika hana uislamu wowote zaidi ya Usanii.
Aliwekwa madarakani Na Magufuli kwa kumwagwa damu za Watu. Yeye akiwa Waziri wa majeshi waliouwa
 
Kwa nini asianzishe mfuko kulisha masikini na yatima kwanza? Wakati mwingine sidhani kama hizi Dini huwa hata wanazielewa!
Rafiki dini sio Mungu. Na kuwa na dini si lazima uwe na Mungu. Wengi wenye dini huwa hawana Mungu lakini wenye Mungu yumkini wanaweza kuwa na dini fulani
 
Wanataka Kuleta Yale mambo ya ioc.. Kuhiji jambo binafsi nchi inahusikaje?
Ila nyie nisawa Kwenye kuwa mpaka na balozi hapa kutoka Vatican je Vatican ni nchi hapana ni kiungo Cha wakiristo Hilo hulioni we zezeta
 
Back
Top Bottom