Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Hii elimu ya kununua vyeti itawafungisha. Hivi nimeandika kitu gani na umejibu nini ?Kwahiyo waislamu no wazenji tu?! Astakafululahi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii elimu ya kununua vyeti itawafungisha. Hivi nimeandika kitu gani na umejibu nini ?Kwahiyo waislamu no wazenji tu?! Astakafululahi
Kwamba wazo kama hilo haliwezi kutamkwa na kiongozi mkubwa kama yule. Wewe unafikirije?Kilichokushtusha nini kwa hapo?
Umestushwa nini? Kwenda Hijja ni imani yao hata Wakristo huenda Yerusalem na Fatima na Nnamugongo, Wahindu huenda Veranasi kujiua mtoni waende mbinguni. Kwa nini mtu umzuie kuanzisha mfuko kusaidia watu kuhiji? La muhimu ni utaratibu tu, Mfuko utumiwe na Mahujaji na si magaidi wa UAMSHO wala wanaharakati. Ukiwa chini ya Mufti au Baraza la Waislamu wazalendo likatoa Taarifa ya Mapato na Matumizi kama NGO zingine sioni kama kuna shida yoyote.Nimemsikia Rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waislam wanapoenda Hija.
Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar inazuiwa kujianzishia mfuko? Au ni kanjia ka kuitaka Serikali ya Muungano igharamie ibada ya dini moja?
Mbona umeleta mambo ya uamsho na ugaidi ,kumbe unao ushahidi wa ugaidi wao kwa nini hukuwasaidia polisi na kesi ya kubambikiza ya kuwaonea wanaotetea haki Za Wazanzibari?Umestushwa nini? Kwenda Hijja ni imani yao hata Wakristo huenda Yerusalem na Fatima na Nnamugongo, Wahindu huenda Veranasi kujiua mtoni waende mbinguni. Kwa nini mtu umzuie kuanzisha mfuko kusaidia watu kuhiji? La muhimu ni utaratibu tu, Mfuko utumiwe na Mahujaji na si magaidi wa UAMSHO wala wanaharakati. Ukiwa chini ya Mufti au Baraza la Waislamu wazalendo likatoa Taarifa ya Mapato na Matumizi kama NGO zingine sioni kama kuna shida yoyote.
Huyo nae Eti ana ndoto za kuwa Rais bara. Apotelee huko huko😠😠😠Nimemsikia Rais wa Zanzibar akieleza kwamba eti waombe kibali Serikali ya Muungano ili Zanzibar ianzishe mfuko wa kusaidia waislam wanapoenda Hija.
Nimeshtushwa na hili ombi kwani Zanzibar inazuiwa kujianzishia mfuko? Au ni kanjia ka kuitaka Serikali ya Muungano igharamie ibada ya dini moja?
Huyo ni kijana wenu kutoka Mkuranga . Huku aliletwa na Magufuli kuendeleza ukoloni wa Tanganyika kwa Zanzibar na waliuliwa watu katika kuwekwa hapo.Huyo nae Eti ana ndoto za kuwa Rais bara. Apotelee huko huko😠😠😠
sheria Za uchaguzi Za Zanzibar na Tanganyika/ Tanzania , hazikumruhusu kugombea Uraisi Zanzibar, ni ubabe wa Magufuli na baraka Za baba yake , ndiyo zilizomweka huku sheria zikivunjwa mchana kweupeHuyo nae Eti ana ndoto za kuwa Rais bara. Apotelee huko huko😠😠😠
Baba yake aliwahi kuwa pia Rais wa huko. Serikali 3 zingefaa sana .sheria Za uchaguzi Za Zanzibar na Tanganyika/ Tanzania , hazikumruhusu kugombea Uraisi Zanzibar, ni ubabe wa Magufuli na baraka Za baba yake , ndiyo zilizomweka huku sheria zikivunjwa mchana kweupe