Rais Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Tanzania hapo mbeleni

Rais Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Tanzania hapo mbeleni

Suala la Udini au ukabila sio msingi wa Uongozi wa Taifa hili. Wadini na Wakabila ndio pekee watag'ang'ana na utamaduni huo usio na tija kwa Taifa na kwakweli ni wachache mno, maoni na mtazamo wao naamini utaheshimiwa sana but hautazingatiwa sana, I know wapo wagalatia shupavu ukimuondoa Dr. Isdory Mpango but Mwigulu Nchemba, Emanuel Nchimbi, Anton Mtaka, Makongoro Nyerere, Tulia Ackson, Angelina Mabula, Angela Kairuki and many others can make a very good vice president and later on a very good President. Historia ya Baba,ataishi Mwana
Kuna vitu mvikumbuke, zamani ilisemwa ni wa kule majini na baadaye bara kupokezana, kwakua kulikuwa na wasio wavumilivu waka
sema inaweza kuwa dini hii na ile, leo watu wenye tamaa hizo hizo wanakuja na story zingine...Mungu fundi...Tulieni, kam 2015 mtashangazwa, Mungu bado yupo hai, yeye asiyezuiliwa na wakati wala sehemu
 
Mbeleni wapi huko, wewe subili mchakato ukianza hapo chimwaga ndiyo utajua hujui
 
Wanajisahulisha na kutaka kuleta janja janja kama ya kipindi cha Ali Hassani Mwinyi

Kipindi cha Mwinyi walikuwa wanasuka mpango wa mwislamu mwingine afuate

Atoke Mwinyi aingie Kikwete 'Muslim to Muslim'....hadi John Malecela alitaka kubadili dini

Leo hii eti atoke Samia aingie Hussein Mwinyi ama January Makamba...Big No
Wakae kwa kutulia
 
Masikini mnapenda sana KUTAWALIWA na familia fulani fulani.

Huyo Mwinyi hajawahi kufanya Jambo lolote la maana zaidi ya kupewa vyeo tu Kwasababu ya baba yake.

Ila utaahira na umsukule ni kipaji, aisee
 
Wanajisahulisha na kutaka kuleta janja janja kama ya kipindi cha Ali Hassani Mwinyi

Kipindi cha Mwinyi walikuwa wanasuka mpango wa mwislamu mwingine afuate

Atoke Mwinyi aingie Kikwete 'Muslim to Muslim'....hadi John Malecela alitaka kubadili dini

Leo hii eti atoke Samia aingie Hussein Mwinyi ama January Makamba...Big No
Na wakiamuwa kufanya hivyo ww utachukua hatua gani kuwa zuia?
 
Huu utaratibu ufeWagalatia always wamekuwa Wakatoliki. Nani alisema wakatoliki huwakilisha wagalatia wote???!!!
Jambo la muhimu apatikane Kiongozi kwanza.
Mcha Mungu na mwenye hofu ya Mungu
Mwenye kutenda haki na kuwa na utashi wa kujua thamani ya utu.
Asiye mwizi na fisadi wala haana tamaa ya kujilimbikizia mali kwa njia za kilaghai na dhuluma.
Anaye jua fika,maisha haya ya duniani hii ni ya kitambo kidogo tu na niya kuipata.
Avae viatu vya watu wenye hali ya chini kimaisha na atoe kipaumbele kuwatumikia na kuona wanapata fursa za kujikwamua kutoka hali zao.
Awe Nzalendo aliyekunywa maji ya Bendera kwa maana hiyo.
Tutamjuaje huyo mtu ??! Maana binadamu huwa wanabadilika hasa akishapata !!
 
Wanajisahulisha na kutaka kuleta janja janja kama ya kipindi cha Ali Hassani Mwinyi

Kipindi cha Mwinyi walikuwa wanasuka mpango wa mwislamu mwingine afuate

Atoke Mwinyi aingie Kikwete 'Muslim to Muslim'....hadi John Malecela alitaka kubadili dini

Leo hii eti atoke Samia aingie Hussein Mwinyi ama January Makamba...Big No
Washindweeeeeeee na tuwe macho
 
Wakibadili mtawafanya nini ?? Maana hiyo ni taratibu tu walizojiwekea CCM wala haimo kwenye katiba ya Ccm wala kwenye Katiba ya Nchi !!
Ni utaratibu unaoheshimika ndani ya chama watake wasitake na ndio mana ni Katoliki Vs muslim imeisha hiyo
 
Hussein Mwinyi amalize awamu zake za Zanzibar atulie

Baada ya Samia inafuata zamu ya Mkristo

Ova
Labda huyo awe FAM!
Ila ngoja sasa litakuja lile lirais la miamba na majabali! Atakuja awalabue!
 
Back
Top Bottom