Rais Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Tanzania hapo mbeleni

Kuna vitu mvikumbuke, zamani ilisemwa ni wa kule majini na baadaye bara kupokezana, kwakua kulikuwa na wasio wavumilivu waka
sema inaweza kuwa dini hii na ile, leo watu wenye tamaa hizo hizo wanakuja na story zingine...Mungu fundi...Tulieni, kam 2015 mtashangazwa, Mungu bado yupo hai, yeye asiyezuiliwa na wakati wala sehemu
 
Mbeleni wapi huko, wewe subili mchakato ukianza hapo chimwaga ndiyo utajua hujui
 
Wakae kwa kutulia
 
Masikini mnapenda sana KUTAWALIWA na familia fulani fulani.

Huyo Mwinyi hajawahi kufanya Jambo lolote la maana zaidi ya kupewa vyeo tu Kwasababu ya baba yake.

Ila utaahira na umsukule ni kipaji, aisee
 
Na wakiamuwa kufanya hivyo ww utachukua hatua gani kuwa zuia?
 
Tutamjuaje huyo mtu ??! Maana binadamu huwa wanabadilika hasa akishapata !!
 
Na wakiamuwa kufanya hivyo ww utachukua hatua gani kuwa zuia?
Tutazidisha threads nyingi. πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… za kupinga ! Ndio kitu tunaweza waTZ πŸ˜…πŸ˜…
 
Washindweeeeeeee na tuwe macho
 
Wakibadili mtawafanya nini ?? Maana hiyo ni taratibu tu walizojiwekea CCM wala haimo kwenye katiba ya Ccm wala kwenye Katiba ya Nchi !!
Ni utaratibu unaoheshimika ndani ya chama watake wasitake na ndio mana ni Katoliki Vs muslim imeisha hiyo
 
Hussein Mwinyi amalize awamu zake za Zanzibar atulie

Baada ya Samia inafuata zamu ya Mkristo

Ova
Labda huyo awe FAM!
Ila ngoja sasa litakuja lile lirais la miamba na majabali! Atakuja awalabue!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…