Rais Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Tanzania hapo mbeleni

Na makongoro mkuu!?
 
Kwa kuwa Tanzania imekosa watu au?
 
Rais baada ya Samia atakuwa Zitto.
 
Yaani kama ningekuwa ktk ngazi za maamuzi ya juu CDM, ningeshawishi sana tumwandae vzr Mbowe kuingia Ikulu.
Moja ya sifa ninayomuona nayo Mbowe ni kutokuwa na kundi la kibaguzi hasa ktk dini.
Japo ni Mkristo lkn amejichanganya vzr sana na waislam.
 

100%, naunga mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…