Zanzibar 2020 Rais Hussein Mwinyi: Niko tayari kufanya maridhiano na vyama vingine

Bottom line:

1. Uchaguzi urudiwe.
2. Fidia kwa wahanga.
3. Kuwajibishwa kwa perpetrators.

Bila hayo na kinuke tu!
Vile vile asisahau kuwatafutia haki zao UAMSHO waliowekwa rumande kwa muda wa miaka saba bila ya kufikishwa Mahakamani na kuhukumiwa Kwa kisingizio cha ushahidi haujakamilika...
 
Hakuna cha uchunguzi wala nini

Nani aliwaambia waandamane na kufanya vurugu

Ebo!, uvunje sherie mwenyewe, janga likupate, halafu lawama ziwaendee wengine

Wangelitii sheria na mamlaka yasingeliwakuta ova.
Angalia mawazo ya huyu binadamu, hata nyani ana akili na kuna wakati anamuokoa swala asiuliwe na chui, huyu anafurahia mateso ya jirani yake kisa tofauti ya itikadi za vyama, sasa huyu si bora hata nyani ana faida??
 
Vile vile asisahau kuwatafutia haki zao UAMSHO waliowekwa rumande kwa muda wa miaka saba bila ya kufikishwa Mahakamani na kuhukumiwa Kwa kisingizio cha ushahidi haujakamilika...

Waungwana wanasema, "one thing at a time and crucial things first."
 
Angalia mawazo ya huyu binadamu, hata nyani ana akili na kuna wakati anamuokoa swala asiuliwe na chui, huyu anafurahia mateso ya jirani yake kisa tofauti ya itikadi za vyama, sasa huyu si bora hata nyani ana faida??

Mamburula kama hayo yako mengi wala hawana haja ya kutupa taabu hao.

Hawana hoja na hawana lolote. Ni mzigo tu kwa jamii. Hao ni heri ya mbuzi ukimchinja utapata japo mchuzi.
 
Hayo huwa ni matokeo ya kufanya maridhiano sio sharti la kufanya Maridhiano
 
Kumbeee
 
Huyu naye hajui hata anafanya nini?
 
Hapa itategemeana na msimamo wa Maalim Seif! Huyu ndiye mwamuzi wa siasa za Zanzibar.
 
Kinach waharibia wazenji ni unafiki, kama sio unafiki basi leo wangekua na nchi yao.
 
Hayo huwa ni matokeo ya kufanya maridhiano sio sharti la kufanya Maridhiano
Lazima kuwa na mikataba, MASHARTI na makubaliano ndio maridhiano yafanyika

Hayo yanaitwa MASHARTI ya maridhiano sio MATOKEO ya Maridhiano.
 
Hapa itategemeana na msimamo wa Maalim Seif ameamua! Huyu ndiye mwamuzi wa siasa za Zanzibar.
Kweli kabisa Maalim Seif atakuwa mjinga kama atakubali Maridhiano bila ya kutoa MASHARTI magumu,ili haya mambo yasijirudie rudie..

Maalim amesema kuwa ataapelekea wanachama wake hii hola, Kwani wao ndio walioathirika na na matukio ya Uchaguzi

Nice move from Maalim...
 
KOmandoo kwa Sasa ni Kipofu
Asha Makame alikufa kama nzige
Balozi Idd alipinda mdomo
Shamhuna mnajua yalompata
Mwinyi na Maccm wenzako siku yenu yaja
 
Hayo masharti mnayapata wapi bila ya kukaa na kuyajadili?

Unakumbuka Mchakato wa awali wa maridhiano chini ya Chief Emeka Enyauku aliekuwa katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola baada ya uchaguzi mkuu wa 1995 ulivyoanza?
Ccm ikiwakilishwa na Philip Mangula, Serikal ikiwakilishwa na Hayati Kingunge na CUF ikiwakilishwa na Seif Sharif!

Huwezi kuweka sharti la kujadiliana kwa kuweka terms zenyewe za mjadala kama ndio sharti? Mfano useme fulani aaachiwe huru wakati mjadala utahusu mustakbali wa watuhumiwa waliokamatwa kwa tuhuma za jinai ya uchaguzi?
Lazima kuwa na mikataba, MASHARTI na makubaliano ndio maridhiano yafanyika

Hayo yanaitwa MASHARTI ya maridhiano sio MATOKEO ya Maridhiano.
 
Barakallah.wafiikum.allah.akupe.watoto.wema.nawawe.naelimu.naufamu.kamawew.inshallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…