Zanzibar 2020 Rais Hussein Mwinyi: Niko tayari kufanya maridhiano na vyama vingine

Zanzibar 2020 Rais Hussein Mwinyi: Niko tayari kufanya maridhiano na vyama vingine

Seif alimsaliti Aboud Jumbe 1984 kwa kusaliti uwepo wa serikali 3 wakati Jumbe alikuwa tayari kaweka rehani Urais wake liwalo na liwe lazima wapate Serikal wakati wengine hujifanya kukumbuka Serikal 3 wakiwa nje ya mfumo, Seif mwenyewe 2010~2015 alipokuwa Makamu wa Kwanza Znz ulimsikia akiongelea Serikal 3

Wa Znz itawachukua atleast robo karne kupata Rais aliepo madarakani wa level ya Jumbe kuongelea na kupigania serikal 3 akiwa madarakan
Kinach waharibia wazenji ni unafiki, kama sio unafiki basi leo wangekua na nchi yao.
 
Hayo masharti mnayapata wapi bila ya kukaa na kuyajadili?

Unakumbuka Mchakato wa awali wa maridhiano chini ya Chief Emeka Enyauku aliekuwa katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola baada ya uchaguzi mkuu wa 1995 ulivyoanza?
Ccm ikiwakilishwa na Philip Mangula, Serikal ikiwakilishwa na Hayati Kingunge na CUF ikiwakilishwa na Seif Sharif!

Huwezi kuweka sharti la kujadiliana kwa kuweka terms zenyewe za mjadala kama ndio sharti? Mfano useme fulani aaachiwe huru wakati mjadala utahusu mustakbali wa watuhumiwa waliokamatwa kwa tuhuma za jinai ya uchaguzi?
That's how is ought to be my brother..
Haya Mambo yanajirejea kila Uchaguzi..

Wazanzibari wanakufa,wanapotea,wanateswa kwasababu hakuna aina ya MASHARTI yoyote katika maridhiano yao.

Kumbuka ni CCM kila siku wanakuja na ulaghai wa kuwarubuni Wazanzibari, halafu hawafati Yale waliokubaliana..

Ni shetani tu ndio anaweza kuwa kigeugeu Kama cha CCM..

Uko wapi muafaka waliokubaliana baina ya Seif na Karume, Nani kavunja makubaliano Yale..

Tafakari.
 
Angalia mawazo ya huyu binadamu, hata nyani ana akili na kuna wakati anamuokoa swala asiuliwe na chui, huyu anafurahia mateso ya jirani yake kisa tofauti ya itikadi za vyama, sasa huyu si bora hata nyani ana faida??
Inaumasana
 
Mzee rudisha kura ulizokwiba kwanza, afu tuzihesabu upya..utaki bac endelea na urais wako na sisi tuhangaike kutibu majereha yetu... tatizo ni nini?
 
Kwanza aliwashukuru ZEC kwa kazi nzuri, pili akavishukuru vyombo vya usalama kwa kazi nzuri ..... then anakuja kutaka muafaka.

Mkuu unasomeka ndiyo maana katika huu:

Haya yalikuwamo:

Mabibi na mabwana kumekuwa na kauli zenye mantiki tokea kwa Dk. Mwinyi rais wa sasa Zanzibar. Kauli kama hizi:

1. "CCM tuepuke kushangilia kiasi cha kuwaudhi wenzetu."

2. "Niko tayari kwa maridhiano."

Bila ya nyongeza ya neno jingine lolote, hizi ni kauli za msingi sana. Kauli hizi za matumaini, zimemtoka mwenyewe kinywani mwake, akizitoa hadharani.

Kama kuna maneno yoyote mbele au nyuma yanayokwenda na kauli hizo, kwa wazanzibari waliojeruhiwa katika uporwaji ule wa haki, basi hayo na yakachukuliwe kuwa ni mbwembwe na madoido tu ya kiswahili cha mwambao hadi pale itakapothibitika vinginevyo.

Kumchinja Kobe inahitaji timing.

Kukinukisha ni karata nzito iliyopo bado and available.

Aluta continua.
 
Msitugeuze misukule, hivi kweli maalim Seif na wenzake ni wakupata 17%???? Muibe makusudi, muue makusudi, mtese watu makusudi, hapana aiseeeee eti mje kutaka maridhiano???

Horrendous.......
 
Seif alimsaliti Aboud Jumbe 1984 kwa kusaliti uwepo wa serikali 3 wakati Jumbe alikuwa tayari kaweka rehani Urais wake liwalo na liwe lazima wapate Serikal wakati wengine hujifanya kukumbuka Serikal 3 wakiwa nje ya mfumo, Seif mwenyewe 2010~2015 alipokuwa Makamu wa Kwanza Znz ulimsikia akiongelea Serikal 3

Wa Znz itawachukua atleast robo karne kupata Rais aliepo madarakani wa level ya Jumbe kuongelea na kupigania serikal 3 akiwa madarakan
Unataka kusema hata haya maridhiano anayotaka Mwinyi ni unafiki tu.
 
Damu za Wapemba zinamlilia, hana roho ngumu kama Jiwe huyo Mwinyi ni lazima aweweseke tu!
 
Mazrui kakutwa katika process ya kuhujumu ushindi 'matokeo' wa Hussein Mwinyi

Angefanikiwa labda Hussein Mwinyi asingekiwa Rais sasa mtu wa namna hiyo anasamehewaje!?!

Hakuna kuachiwa ova.
Kama ni hivyo, je na wahujumu halisi nao walionekana, na nini kimetokea kwao Hadi sasa, ama wao, hawakuonekana?
 
Seif alimsaliti Aboud Jumbe 1984 kwa kusaliti uwepo wa serikali 3 wakati Jumbe alikuwa tayari kaweka rehani Urais wake liwalo na liwe lazima wapate Serikal wakati wengine hujifanya kukumbuka Serikal 3 wakiwa nje ya mfumo, Seif mwenyewe 2010~2015 alipokuwa Makamu wa Kwanza Znz ulimsikia akiongelea Serikal 3

Wa Znz itawachukua atleast robo karne kupata Rais aliepo madarakani wa level ya Jumbe kuongelea na kupigania serikal 3 akiwa madarakan
Wakati wa utawala wa Jumbe ulikuwa wakati mgumu sana kiuchumi katika historia ya Zanzibar..

Ali Hassan Mwinyi ndie aliekuja kuikoa Zanzibar

Huyu mtu Aboud Jumbe Mwinyi alikuwa mlevi wa kudondoka..

Karume aliwahi kusema asipewe uraisi hata kama yeye kafa

Sijui ingekuwaje Kwa wakati ule kama Aboud Jumbe Mwinyi angeliweza kufanya serikali tatu yeye akiwa Raisi wa Zanzibar...

Mungu ndie mjuzi wa kujua kila kitu

Another, old episode of Shit hole Country, from shit hole People...
 
Kama ni hivyo, je na wahujumu halisi nao walionekana, na nini kimetokea kwao Hadi sasa, ama wao, hawakuonekana?
Uhujumu mkubwa kuliko wote katika harakati za Uchaguzi ni kutumbukiza karatasi kweye maboksi ya kupigia kura..

Katika Uchaguzi uliopita tulishuhudia kikatwa kwa Karatasi feki za kupigia kura kila kona ya Tanzania..

Wale waliokatwa na hizo Karatasi wako wapi,Je wamefunguliwa Mashtaka??
 
Huyo unaemwita 'Mlevi wa kutupwa' ndie kwa utashi wake

1) Aliingiza Vijana wa kipemba Serikalini ambao hapo awali walionekana kama wasaliti wa Mapinduzi na walinyofolewa baada ya kuondoka kwake
2) Huyo Mlevi ndie aliehitimisha Decree (kutawala kwa amri ya Rais badala ya katiba)
3) Jumbe ndio aliweka bills of human rights Znz kabla ya bara
4) Jumbe ndio katunga Katiba ya kudumu ya kwanza Znz
5) Jumbe ndio aliasisi Baraza la Wawakilishi kuchukua nafasi ya baraza la Mapinduzi
6) Jumbe ndie Rais na mtu pekee alieandaa Paper kujibu kwa hoja kwanini tuwe na serikal 3 badala ya 2 akasalitiwa na wale leo wanajiona waumini wa serikal 3

Huyo unaemwita 'Mlevi' kaacha Misingi bora zaid ya kiutawala kuliko Rais yoyote wa Zanzibar kuliko Rais yeyote yule
Wakati wa utawala wa Jumbe ulikuwa wakati mgumu sana kiuchumi katika historia ya Zanzibar..

Ali Hassan Mwinyi ndie aliekuja kuikoa Zanzibar

Huyu mtu Aboud Jumbe Mwinyi alikuwa mlevi wa kudondoka..

Karume aliwahi kusema asipewe uraisi hata kama yeye kafa

Sijui ingekuwaje Kwa wakati ule kama Aboud Jumbe Mwinyi angeliweza kufanya serikali tatu yeye akiwa Raisi wa Zanzibar...

Mungu ndie mjuzi wa kujua kila kitu

Another, old episode of Shit hole Country, from shit hole People...
 
Huyo unaemwita 'Mlevi wa kutupwa' ndie kwa utashi wake

1) Aliingiza Vijana wa kipemba Serikalini ambao hapo awali walionekana kama wasaliti wa Mapinduzi na walinyofolewa baada ya kuondoka kwake
2) Huyo Mlevi ndie aliehitimisha Decree (kutawala kwa amri ya Rais badala ya katiba)

Huyo unaemwita 'Mlevi' kaacha Misingi bora zaid ya kiutawala kuliko Rais yoyote wa Zanzibar kuliko Rais yeyote yule
Aboud Jumbe Mwinyi alikuwa mlevi mbwa..

Kuwaingiza vijana wa Kipemba kwenywe utawala wake ni njia ya kujikinga na Waunguja..

Waunguja walikuwa wanamjua hulka zake,Wapemba walikuwa hawamjui

Aboud Jumbe Mwinyi alitumia tactics za divide and rule ili aitawale Zanzibar..

Alifikiri atapata support ya Wapemba kwa aliyotaka kuyafanya, lakini wapi Wapemba walimshtukia..

Alikuwa bogus president,hali ilikuwa ngumu sana Zanzibar

Ukivaa vizuri unakamtwa,ukiendesha gari nzuri unakamtwa,..

Unakumbuka vitenge maalumu, Wazanzibari wote walikuwa wanavaa Sare,wote walikuwa wanavaa vitenge..

To Hell with him..
 
Back
Top Bottom