Kinach waharibia wazenji ni unafiki, kama sio unafiki basi leo wangekua na nchi yao.
That's how is ought to be my brother..Hayo masharti mnayapata wapi bila ya kukaa na kuyajadili?
Unakumbuka Mchakato wa awali wa maridhiano chini ya Chief Emeka Enyauku aliekuwa katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola baada ya uchaguzi mkuu wa 1995 ulivyoanza?
Ccm ikiwakilishwa na Philip Mangula, Serikal ikiwakilishwa na Hayati Kingunge na CUF ikiwakilishwa na Seif Sharif!
Huwezi kuweka sharti la kujadiliana kwa kuweka terms zenyewe za mjadala kama ndio sharti? Mfano useme fulani aaachiwe huru wakati mjadala utahusu mustakbali wa watuhumiwa waliokamatwa kwa tuhuma za jinai ya uchaguzi?
InaumasanaAngalia mawazo ya huyu binadamu, hata nyani ana akili na kuna wakati anamuokoa swala asiuliwe na chui, huyu anafurahia mateso ya jirani yake kisa tofauti ya itikadi za vyama, sasa huyu si bora hata nyani ana faida??
Kwanza aliwashukuru ZEC kwa kazi nzuri, pili akavishukuru vyombo vya usalama kwa kazi nzuri ..... then anakuja kutaka muafaka.Waungwana wanasema, "one thing at a time and crucial things first."
Kwanza aliwashukuru ZEC kwa kazi nzuri, pili akavishukuru vyombo vya usalama kwa kazi nzuri ..... then anakuja kutaka muafaka.
Unataka kusema hata haya maridhiano anayotaka Mwinyi ni unafiki tu.Seif alimsaliti Aboud Jumbe 1984 kwa kusaliti uwepo wa serikali 3 wakati Jumbe alikuwa tayari kaweka rehani Urais wake liwalo na liwe lazima wapate Serikal wakati wengine hujifanya kukumbuka Serikal 3 wakiwa nje ya mfumo, Seif mwenyewe 2010~2015 alipokuwa Makamu wa Kwanza Znz ulimsikia akiongelea Serikal 3
Wa Znz itawachukua atleast robo karne kupata Rais aliepo madarakani wa level ya Jumbe kuongelea na kupigania serikal 3 akiwa madarakan
Kama ni hivyo, je na wahujumu halisi nao walionekana, na nini kimetokea kwao Hadi sasa, ama wao, hawakuonekana?Mazrui kakutwa katika process ya kuhujumu ushindi 'matokeo' wa Hussein Mwinyi
Angefanikiwa labda Hussein Mwinyi asingekiwa Rais sasa mtu wa namna hiyo anasamehewaje!?!
Hakuna kuachiwa ova.
Wakati wa utawala wa Jumbe ulikuwa wakati mgumu sana kiuchumi katika historia ya Zanzibar..Seif alimsaliti Aboud Jumbe 1984 kwa kusaliti uwepo wa serikali 3 wakati Jumbe alikuwa tayari kaweka rehani Urais wake liwalo na liwe lazima wapate Serikal wakati wengine hujifanya kukumbuka Serikal 3 wakiwa nje ya mfumo, Seif mwenyewe 2010~2015 alipokuwa Makamu wa Kwanza Znz ulimsikia akiongelea Serikal 3
Wa Znz itawachukua atleast robo karne kupata Rais aliepo madarakani wa level ya Jumbe kuongelea na kupigania serikal 3 akiwa madarakan
Uhujumu mkubwa kuliko wote katika harakati za Uchaguzi ni kutumbukiza karatasi kweye maboksi ya kupigia kura..Kama ni hivyo, je na wahujumu halisi nao walionekana, na nini kimetokea kwao Hadi sasa, ama wao, hawakuonekana?
Wakati wa utawala wa Jumbe ulikuwa wakati mgumu sana kiuchumi katika historia ya Zanzibar..
Ali Hassan Mwinyi ndie aliekuja kuikoa Zanzibar
Huyu mtu Aboud Jumbe Mwinyi alikuwa mlevi wa kudondoka..
Karume aliwahi kusema asipewe uraisi hata kama yeye kafa
Sijui ingekuwaje Kwa wakati ule kama Aboud Jumbe Mwinyi angeliweza kufanya serikali tatu yeye akiwa Raisi wa Zanzibar...
Mungu ndie mjuzi wa kujua kila kitu
Another, old episode of Shit hole Country, from shit hole People...
Aboud Jumbe Mwinyi alikuwa mlevi mbwa..Huyo unaemwita 'Mlevi wa kutupwa' ndie kwa utashi wake
1) Aliingiza Vijana wa kipemba Serikalini ambao hapo awali walionekana kama wasaliti wa Mapinduzi na walinyofolewa baada ya kuondoka kwake
2) Huyo Mlevi ndie aliehitimisha Decree (kutawala kwa amri ya Rais badala ya katiba)
Huyo unaemwita 'Mlevi' kaacha Misingi bora zaid ya kiutawala kuliko Rais yoyote wa Zanzibar kuliko Rais yeyote yule