#COVID19 Rais Hussein Mwinyi waombe radhi waliochanjwa Zanzibar, umewakosea sana

Hija bado hadi mwakani.
Labda ziara ya Umrah ambayo sio lazima kwenda.
 
Ngumu kumeza.Ati chanjo haitambuliki na Saudi Arabia? This is nonsense.kwa maana hiyo wanaamini haifanyi kazi au si salama.Mbona sasa Gwajima anatiwa hatiani bure? Ina maana chanjo haijawa approved na WHO??
Hatari sn
 
Hakuna Hijja ya mtu kuifanyia nyumbani kwake katika Sharia ya Uislam.
 
Tutulie. Je kuna uthibitisho kwamba wakati Zanzibar iliagiza ile Sinovac, Saudia walitangaza tayari chanjo maalumu? Kama wakati ule Saudia hawakutaja aina za chanjo wanazokubali, sioni kosa lolote.
Menginevyo hakuna ubaya maana Sinovac haina hasara.
Ni chanjo dhaifu lakini hata hivyo afadhali kuliko kukosa chanjo; kufuatana na majaribio %51 walikingwa dhidi maambukizi, na %100 walikingwa dhidi ya dalili nzito, hakuna aliyepaswa kuingia hospitalini.

(Chanzo: The Sinovac COVID-19 vaccine: What you need to know)
 
Wanasiasa siyo watu wa kuwaamini hata kidogo, wanatanguliza maslai yao kwanza. Hata hii J&J tunayo aminishwa Salama ipo Siku tu itakataliwa.
Mchina atalipiza kisasi anasoma mchezo. Maana yake Chanjo ya china inakosa wanunuzi na soko inawezekana ikawa Chanjo yenye ufanisi mkubwa kiutendaji mwilini.
 
Hakuna Hijja ya mtu kuifanyia nyumbani kwake katika Sharia ya Uislam.
Nipe maana hijja. Kufupisha ukiniambia ni maombi,basi nyumbani sehemu yenye utulivu MUNGU anakusikia zaidi kuliko sehemu ingine.
 
Mungu anazidi kuwaaibisha.
 
La misumu wamechomwa na hayatambuliki kwingine?
Aliyeleta hakulijua Hilo?
Na yeye kuchomwa hiyo au ilikuwa zuga tu na water for injection?
 
Sasa si wanajiboost na johnson and johnson.....uliambiwa chanjo ni moja tu? jiandae kuishi kwenye ncha ya sindano.
 
wanataka za Wamarekani? maana hyo cinovac ni ya wachina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…