Una matatizo kwa sababu hutaki kuelewa!!! Umeambiwa Zanzibar walizindua chanjo ya Sinovac on July kabla Saudi Arabia hawajatoa muongozo! August ndipo Saudi Arabia walitoa muongozo, na chanjo ambazo zilitajwa kutambuliwa ni 3; yaani Pfizer, Astra, na J&J; na kwahiyo Sinovac haikuwapo wakati ZNZ walikuwa wameshaanza kuitumia!!Unachojibu ni ku confuse tu watu...Kuhusu kujua au kutojua wewe unajua mimi na jua nini sawa au tofauti na wewe?
Narudia tena msichanganye siasa na professionalism...Kama kosa limetokea lijibiwe kwa minajili hiyo...Mh. Rais Mwinyi siyo mkorofi wala siyo fanatic ila kuna ninyi wapambe mnaoleta confusion ndiyo mnashida....
Baadae Saudi Arabia hao hao wakaongeza chanjo ya Moderna for young adults katika orodha ya approved vaccines.....
Hapo juu ni nukuu kutoka the Saudi Press Agency (SPA)!Saudi Food and Drug Authority (SFDA) approved today to inoculate 12-17 age group with Moderna COVID -19 Vaccine mRNA
Na according to Arab News, lastTuesdy Saudi Arabia wametangaza kuitambua hiyo Sinovac imeidhinishwa-
Na hata ukiingia kwenye website yao inayotumika ku-apply visa online, utakuta similar maelezo-Saudi Arabia on Tuesday approved two further COVID-19 vaccines, Sinovac and Sinopharm. There are currently four vaccines approved for use in the Kingdom: Oxford-AstraZeneca, Pfizer-BioNTech, Johnson & Johnson, and Moderna.
Guests who have completed two doses of the Sinopharm or Sinovac vaccines will be accepted if they have received an additional dose of one of the four vaccines approved in the Kingdom.
Na kwa suala la kuchanganya chanjo, moja ya taasisi ambazo zilifanya utafiti ni University of Oxford, ambao baada ya utafiti wao wakaeleza-
Oxford University wanataja sample waliyotumia-
- Mixed schedules involving Pfizer-BioNTech and Oxford-AstraZeneca generate strong immune response against SARS-CoV2 spike IgG protein
- Doses administered four weeks apart; data for 12-week dose interval due soon.
- Immune responses differed according to order of immunisation, with Oxford-AstraZeneca followed by Pfizer-BioNTech generating the better immune response out of the two mixed schedules.
Na nilisema wazi kwamba I doubt ikiwa WHO wameidhinisha hilo suala, lakini kuna wakati walisema inapotokea mtu amechukua first shot ya Vaccines X, na baadae analazimika kuchukua second shot lakini vaccines X haipo, basi anaweza kuchukua vaccines Y as a second jab! Aidha nilisema pamoja na WHI kutoidhinisha bado kuna nchi kibao zinafanya mixing, na nchi ya karibu kabisa inayofikiria kuingia kwenye Mixing Club ni Japan-The trial recruited 830 volunteers aged 50 and above from eight National Institute for Health Research (NIHR) supported sites in England to evaluate the four different combinations of prime and booster vaccination.
Hiyo ni habari kutoka Japan TimesJapan could mix AstraZeneca PLC’s COVID-19 shots with those developed by other companies in order to speed up its vaccination effort, according to the minister in charge of the country’s rollout.
The idea would be to combine the dose with one from Pfizer Inc. and BioNTech SE or Moderna Inc., Taro Kono said Sunday on a Fuji TV news program. Since AstraZeneca recommends eight weeks between its two shots, it’s likely that time could be shortened if combined, Kono added.
Na ukisoma habari hii kutoka Reuters, wameorodhesha nchi kadhaa zinazofikiria au tayari zipo kwenye Mixing Club!! Sasa hiyo confusion unayosema wewe ni ipi!!