Rais Hussein Mwinyi: Zanzibar inakabiliwa na ugonjwa wa Corona

Mwinyi will end up in Zanzibar and he won't be given an opportunity to be statesman of teh United Republic of Tanzania due to his indirect message delivery to the audience. He is currently being applauded in Zanzibar but time is very close when he start experiencing the harcore political challenges.

He has to act very carefully before his profile is husked by extremists. towards aspiring to vie for URT presidency if he plans doing so.
 
''Asiyejua maana haambiwi maana.''
 
Maneno yote hayo ni kuzuia watu wasihoji? imetumika sayansi kutengeneza hiyo chanjo na watu wanahoji wanataka maelezo ya kisayansi sasa tatizo liko wapi hapo?

Yani wewe wa ajabu sana et hutaki watu wahoji.

We jamaa sayansi hatuhoji kwa maneno,ndio maana wakileta vitu vyao hapa maabara ya Taifa inachunguza au Unadhani TBS wanafanya mambo kwa kuhoji? Wanafanya kwa vitendo ili kujua ni bora au la!!

Mfumo wa Elimu wa nchi hii umekuaribu vibaya

Hivi wewe ni kabila gani?
 
Mkuu umeandika haraka kama upo UCHI. Pili Mwinyi sio kiongozi wa serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, tatu inabid umtafute Honi Sigara ujifunze kiswahili kidogo.
Nadhani anaitwa Onny Sigalla, sio honi sigara
 
Lete kideo huyu mzee wako akikili kua kuna corona tuliyoishinda kwa siku tatu
 
Mimi nazungumzia kuhoji jambo la kawaida kabisa ila wewe unazungumzia masuala ya kuingia maabara,sasa kila mtu ataingia maabara? Mtu unahitaji maelezo kuhusiana na hiyo chanjo ila wewe hutaki et yatolewe maelezo unataka waingie maabara.
Mbona unashangaza! ni suala tu la kujibu maswali ya kisayansi kutoka kwenye maswali ya kisayansi basi,sasa zaidi ya hapo ndio tutaingia maabara ila hutaki kujibu maswali tu unaleta habari za maabara.

Hivi wewe unajua kwamba pamoja na kuwepo hizo maabara ila bado wana sayansi kuna mambo wanatofautiana na ni mambo ya kisayansi?
 
Kama kweli alitamka hivi basi ujue yeye na Pombe wameanza kuchokana
 

[emoji706][emoji706][emoji706]
 
Simply ameongea kuhusu zanzibar kama nchi anayoiongoza hakuhusisha issue za muungano. Mind you kuna wizara/mambo/vitu sio vya kimuungano.
 
Yaaani unashindwa kuelewa kuwa raisi wa Zanzibar ni mjumbe halali wa baraza la mawaziri la jamuhuri ya muungano ambacho ndicho chombo kikuu cha kumshauri raisi wa jamuhuri ya muungano
Mind you ameongea kama Rais wa zanzibar na ameiongelea zanziba lr sio Tanzania na kuna mambo yasio ya kimuungano ambayo zanzibar inaya handle kama nchi kamili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…