mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,588
- 11,668
Kutokuhoji kwa hizo zengine si sababu ya kufanya tusihoji na hizi,hili ni suala la kisayansi si imani hivyo usitake kusema kwamba tusihoji hizi chanjo za haraka haraka zisizo na majaribio ya kutosha kisa tu kuna chanjo zengine tumezikubali.
Sahihi kabisa!!! Sayansi ni sayansi tu hakuna sayansi ya mzungu wala waafrika etc sasa kwanini uhoji wakati hii ni sayansi pia maabara zipo?
Chukua chanjo zifanyie tafiti? Maneno haya wenzetu walitoka muda tu!! Sayansi ni sayansi tu.