mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Sasa ndo maana nakwambia hawa wazungu lengo lao sio zuri.wana mpango wa SIRI wa kuitawala dunia.
Sasa hivi tupo watu billion 7.
Lakini mpango wa new world order ni kuwa watu wabaki bilioni 1 duniani.
Hivi HAUJIULIZI KWANINI WANALAZIMISHA HIZO CHANJO ZILETWE KWANZA AFRICA?
hivi kati ya Africa na Asia na ulaya na marekani ni wapi kuna athari kubwa ya corona?

Haitowezekana labda watumie Silaha za maangamizi tena waanze na China
Hizo ni Conspiracy theories lakini kwenye uhalisia ni ngumu