Lucky Star
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,912
- 3,276
Jamani tusikalili, muacheni Mama aitangaze Tanzania. Nina uhakika Tanzania itajitangaza kupitia yeye
Siyo gumu, mi nafikiri Mama kachukua uamuzi sahihi anavyoona yeye ni sahihi, tumuunge mkono!Muda wote hili ni gumu sana kwa kweli...
Nitamuunga mkono akipanda mlima Kilimanjaro. Aka shoot pale Uhuru peak. Awe rais wa kwanza duniani kufika pale juu.Siyo gumu, mi nafikiri Mama kachukua uamuzi sahihi anavyoona yeye ni sahihi, tumuunge mkono!
Askofu Gwajima alitabiri luwa wakishachanjwa kuna uwezekano wengine watageuka kuwa mazombi. Ebu tuzidi kuvuta subira.Huko Rwanda Masokwe ndio wanatangaza Utalii hapa kwetu ni Wanasiasa ndio wamekuwa Masokwe wetu.
Rais wetu kumbe kipaji chake ni uigizaji wa filamu!!kuhusu rais tumepigwa
Maza anapiga 4:4:2......tukubali tu hatuna namnakuhusu rais tumepigwa
asije akathubutu, na akijaribu sisi kama taifa tutapata msiba kwa mara ya pili katika kipindi cha mwaka mmoja...Nitamuunga mkono akipanda mlima Kilimanjaro. Aka shoot pale Uhuru peak. Awe rais wa kwanza duniani kufika pale juu.
Hii Nchi watu wa nje wanaiogopa . Imejaa mi corona alafu serikaliKwa mara ya kwanza Dunia inaenda kushuhudia mkuu wa nchi, Rais akitangaza utalii.
Rais anapoamua kutangaza utalii maana yake ni kwamba hilo Taifa analoongoza,ni Taifa mfu,ni Taifa lililokufa,ni taifa jipya kabisa chini ya jua,na halina raslimali zozote na wala kitu chochote,sasa inabidi atoke mkuu wa nchi aifahamishe Dunia kuwa taifa analoongoza lina sehemu za utalii.
Na Kwanza hata Kama taifa halina chochote, siyo kazi ya Rais kutangaza utalii.
Zipo strategies za kutangaza utalii, Samatta ni maarufu Duniani kuliko Rais Samia.
Rais anapoenda Location kama msanii wa Bongo movie kutangaza utalii,huo mkosi mzito mno kwa taifa,watalii hawaji Tanzania eti kwa sababu Rais aliwatangazia.
Wanakuja kwa sababu usalama wao utakuwa mkubwa zaidi, huwezi kwenda kutalii kwenye Taifa ambalo kiongozi mkuu wa Chama kikubwa Cha Upinzani ni Gaidi, maana yake ni kwamba hata mawaziri nao ni magaidi.
Kenya inapokea maelfu ya watalii kwa mwaka kuliko Tanza,ni nani alimwona Rais wa Kenya akienda location kutangaza utalii?
Yaani Serikali nzima yenye wasomi wa kada zote haina strategies za kutangaza utalii hadi Rais aende location?
Mbona ni rahisi mno kutangaza utalii kuliko ilivyo rahisi kunywa maji?
Tanzania hii yenye vivutio vyote leo hata Rwanda wameanza kuwazidi kupokea watalii wengi kwa sababu ya strategies.
Rais ataenda Location zote,na mtatengeneza filamu zote na watalii hamtawaona kwa sababu hamna strategies.
Nyie strategies zenu ni kuua Upinzani tu haya mengine zero kabisa.
Anaweza mkuu.asije akathubutu, na akijaribu sisi kama taifa tutapata msiba kwa mara ya pili katika kipindi cha mwaka mmoja...
.mkuu siku za nyumba nilikuwa nakuheshimu siku hizi nakutumia mashaka uwezo wako wa kujenga hoja,Tatizo mmejaa ushamba wa Chato! Kwani Samia ndo Rais wa kwanza Duniani kufanya Royal Tour?
Tatizo mmejaa ushamba na mnaonesha wazi wazi mlivyo washamba
Acha upumbavu wewe ,Rais Kagame amewahi shiriki kwenye Royal tour ya kuitangaza utalii wa Nchi yake na pia Netanyahu wa Israel amewahi shiriki promotion ya utalii kwenye nchi yake.Kwa mara ya kwanza Dunia inaenda kushuhudia mkuu wa nchi, Rais akitangaza utalii.
Rais anapoamua kutangaza utalii maana yake ni kwamba hilo Taifa analoongoza,ni Taifa mfu,ni Taifa lililokufa,ni taifa jipya kabisa chini ya jua,na halina raslimali zozote na wala kitu chochote,sasa inabidi atoke mkuu wa nchi aifahamishe Dunia kuwa taifa analoongoza lina sehemu za utalii.
Na Kwanza hata Kama taifa halina chochote, siyo kazi ya Rais kutangaza utalii.
Zipo strategies za kutangaza utalii, Samatta ni maarufu Duniani kuliko Rais Samia.
Rais anapoenda Location kama msanii wa Bongo movie kutangaza utalii,huo mkosi mzito mno kwa taifa,watalii hawaji Tanzania eti kwa sababu Rais aliwatangazia.
Wanakuja kwa sababu usalama wao utakuwa mkubwa zaidi, huwezi kwenda kutalii kwenye Taifa ambalo kiongozi mkuu wa Chama kikubwa Cha Upinzani ni Gaidi, maana yake ni kwamba hata mawaziri nao ni magaidi.
Kenya inapokea maelfu ya watalii kwa mwaka kuliko Tanza,ni nani alimwona Rais wa Kenya akienda location kutangaza utalii?
Yaani Serikali nzima yenye wasomi wa kada zote haina strategies za kutangaza utalii hadi Rais aende location?
Mbona ni rahisi mno kutangaza utalii kuliko ilivyo rahisi kunywa maji?
Tanzania hii yenye vivutio vyote leo hata Rwanda wameanza kuwazidi kupokea watalii wengi kwa sababu ya strategies.
Rais ataenda Location zote,na mtatengeneza filamu zote na watalii hamtawaona kwa sababu hamna strategies.
Nyie strategies zenu ni kuua Upinzani tu haya mengine zero kabisa.
Na yale mazombi aliyofufua Gwajima yako wapi?Askofu Gwajima alitabiri luwa wakishachanjwa kuna uwezekano wengine watageuka kuwa mazombi. Ebu tuzidi kuvuta subira.
Tutamuungaje mkono wakati watu maarufu wako mahabusu, hawezi fanikiwa kama hatendi haki, kama mtangulizi wake alivyo fail mpaka akafaSiyo gumu, mi nafikiri Mama kachukua uamuzi sahihi anavyoona yeye ni sahihi, tumuunge mkono!
Mnawatangazia Mabeberu waje kutaliiJamani tusikalili, muacheni Mama aitangaze Tanzania. Nina uhakika Tanzania itajitangaza kupitia yeye.
Wewe ndio umechelewa kujuaTumechelewa sana kujitangaza kwa Dunia na kutumia fursa ya utalii Kwa kuingiza mapato makubwa.
Kwa Taarifa yako Tanzania ina vivutio vingi kuliko Misri, Morocco na South Africa ila inapokea watalii wachache sana kwa mwaka compared na hizo nchi.
Stratergy alioanzisha Rais Samia ndo njia tuliyopaswa kuifanya tangu miaka ya huko nyuma. Kwa iyo Rais Samia yuko sawa