igogondwa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2021
- 2,597
- 3,373
Ngoja tuangalie wenzetu walifanyaje??Jamani tusikalili, muacheni Mama aitangaze Tanzania. Nina uhakika Tanzania itajitangaza kupitia yeye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuangalie wenzetu walifanyaje??Jamani tusikalili, muacheni Mama aitangaze Tanzania. Nina uhakika Tanzania itajitangaza kupitia yeye.
Upo sahihi.Na kiukweli sielewi kwanini watanzania wengi sehemu pekee tunayoweza kusimama kwa nguvu na kwa sauti ni kwenye kukosoa.Sawa kukosoa sio mbaya basi kosoeni kisha toeni maoni ya thamani zaidi.Nafikiri anayejaribu jambo la kutaka mafanikio ni bora kuliko ambaye hathubutu kabisa.Tatizo mmejaa ushamba wa Chato! Kwani Samia ndo Rais wa kwanza Duniani kufanya Royal Tour?
Tatizo mmejaa ushamba na mnaonesha wazi wazi mlivyo washamba
Dogo tuliza matako utusikilize sisi wakubwa zako, makosa yaliyofanyika wakati wa mwendazake yanaendelea,Wewe unayejua maana ya Royal Kwa nini umeshindwa kujua kuwa Rais Samia sio Rais wa kwanza kufanya hii programu??
Punguza ushamba mwana chato! Unajidhalilisha!
Hutakiwi kuwa na mashaka na Mimi Mkuu!.mkuu siku za nyumba nilikuwa nakuheshimu siku hizi nakutumia mashaka uwezo wako wa kujenga hoja,
Umejiuluza Je? ikitokea hii loyola tour haikutoa matokeo chanya au haikufanikiwa,hudhani Raisi atakuwa kwenye wakati mgumu?
Je ikitokea kuna ubadhitifu kwenye hii kitu wabaya wake si watamblack mail na kupeleka kujiuzulu kabla muda
Kwanza Unajua hata Royal Tour ni nini??Dogo tuli matako utusikilize sisi wakubwa zako, mkakosa yaliyofanyika wakati wa mwendazake yanaendelea,
Kuu sideline private sector ni grave mistake,
Kwa nini isingetangazwa tender ya hiyo royola" alafu zikashindana kampuni za ndani na za nje ikapatika a kampuni ikapewa kaxi?
Ni mkakosa makubwa selikali kutokuipa kaxi private sector
sijui kama umenielewa
Well said mkuu.... Mtalii haji kwa sababu rais kahamasisha bali anakuja kutokana na non stop promotion ya vivutio vya utalii, affordable entry fees, affordable accommodation, good and affordable means of transportation, a combination of high quality and well preserved sites, hospitality etc etc... So far Morocco, Egypt and South Africa ndiyo wanaoongoza kwa watalii wengi kuja kwao. Have we checked with them to know what they have done so far??Hua najiuliza sana; ni Rais Samia mwenyewe ndiye aliamua kuanza kufika location kwa ajili ya kutangaza utalii? au kuna ushauri alupewa na wasaidizi wake then akakubaliana nacho?
Je kama watalii watakuja kwasababu ya rais kuboost kutangaza utalii; ni kwanini sasa mawaziri wote wasiende location kwa ajili ya kumsaidia mh Rais kutangaza utalii?
Kwangu mimi bado sijapata sababu rasmi ya kwanini jambo hili linatokea kwenye ardhi ya Tanzania. Hii kitu ipo kwenye bajeti ya Wizara ya Utalii? au ipo kwenye ratiba zote za Ikulu?
Je gharama za kwenda hizo location kutangaza utalii zinalipwa na ofisi ipi.
Hata nikiijua kama haina impact kutangaza utalii ni waste of timeKwanza Unajua hata Royal Tour ni nini??
Mbona unaniaibisha Mkuu?
Umeishia darasa la ngapi?Hata nikiijua kama haina impact kutangaza utalii ni waste of time
njia za kutangaza kutalii ziko nyingi siyo lazima usikariri dogo
Nchi hii ni balaa!! Watu wanajisifu wana akili na kutukana wenzao cha ajabu kwa akili zao hizo hizo nyingi hawana njia mbadala zaidi ya kusisitiza watu wacopy namna za wengine.Ni muhimu sana ifike kipindi bongo zetu wenyew ziweze kufanya kazi na kukosea ndio kujifunzaAcheni utumwa wa fikra, nasi tumepewa vichwa vya kutafakari na kufanya maamuzi sio kila kitu kuiga
Inawezekana hiyo approach ikaleta manufaa na wengine wakaiga
Unamaanisha sokwe kama wale wa Gombe mkuu?Huko Rwanda Masokwe ndio wanatangaza Utalii hapa kwetu ni Wanasiasa ndio wamekuwa Masokwe wetu.
Mazingira tuliyo nayo sidhani kama tutatoboa tumejipakazia ugaidi, bado tunafanya Usanii na na janga la corona,Hutakiwi kuwa na mashaka na Mimi Mkuu!
Royal Tour ni jambo kubwa kinalofanywa kwa maslahi mapana ya Taifa lazima tuliunge mkono na tutoe mawazo mazuri zaidi kuliboresha!
Kuhusu ubadhirifu sijakuelewa. Kwa nijuavyo Mimi Royal Tour kwa hapa nchini inagharamiwa na michango ya watu mbalimbali ikiwemo wawekezaji na sio kodi za wananchi.
Hata ivyo sioni namna kunaweza kuwa na ubadhirifu
Kujua hiyo royola unajiona umekuwa msomi Sana,Umeishia darasa la ngapi?
Hua najiuliza sana; ni Rais Samia mwenyewe ndiye aliamua kuanza kufika location kwa ajili ya kutangaza utalii? au kuna ushauri alupewa na wasaidizi wake then akakubaliana nacho?
Je kama watalii watakuja kwasababu ya rais kuboost kutangaza utalii; ni kwanini sasa mawaziri wote wasiende location kwa ajili ya kumsaidia mh Rais kutangaza utalii?
Kwangu mimi bado sijapata sababu rasmi ya kwanini jambo hili linatokea kwenye ardhi ya Tanzania. Hii kitu ipo kwenye bajeti ya Wizara ya Utalii? au ipo kwenye ratiba zote za Ikulu?
Je gharama za kwenda hizo location kutangaza utalii zinalipwa na ofisi ipi.
Raisi ni nembo ya Taifa, sio vibaya, mataifa yatataka kujua huyu raisi mwanamke ni nani huko Afrika Mashariki. Big up Mama.
Hahahha.. Huyu jamaa kumbe alikuwa anaushabikia upinzani kwa hasira tu za kubanwa mbavu.mkuu siku za nyumba nilikuwa nakuheshimu siku hizi nakutumia mashaka uwezo wako wa kujenga hoja,
Umejiuluza Je? ikitokea hii loyola tour haikutoa matokeo chanya au haikufanikiwa,hudhani Raisi atakuwa kwenye wakati mgumu?
Je ikitokea kuna ubadhitifu kwenye hii kitu wabaya wake si watamblack mail na kupeleka kujiuzulu kabla muda
Unachanganya uwezo wa mtu binafsi na pale mtu huyo huyo anapokuwa amezungukwa na misukule... Unamkumbuka Prof muhongo???Watanzania ujuaji mwingi.... tukiwa nje kila mpira tunajua upigwe vipi, tukiingia ndani tunachemka.
Mama Samwel Sitta alikuwa kiongozi chama cha walimu na maneno mengi, siku amekuja kupewa uwaziri wa elimu hakuna kitu alichofanya.
Nilibanwa mbavu na Nani?? Kwa Taarifa yako Mimi ni Mwanachama wa CCM tangu mwaka 1995. Wewe ulikuwa wapi enzi izo?Hahahha.. Huyu jamaa kumbe alikuwa anaushabikia upinzani kwa hasira tu za kubanwa mbavu
Hizo taarifa kuwa wamefunga balozi Kwa sababu za kiusalama umezitoa wapi?Mazingira tuliyo nayo sidhani kama tutatoboa tumejipakazia ugaidi, bado tunafanya Usanii na na janga la corona,
zile nchi zinazoleta watalii wengi wameanza kufunga balozi kwa sababu za kiusalama na ukosefu wa utawala bora
hiyo royola itafanikiwa vipi?