Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sana !kuhusu rais tumepigwa
www.jamiiforums.com
Malaya huyu pimbiMbona ulikuwa unampigia chapuo mbelgiji awe rais?
Hawa nao wamefanya hiyo tour??Kagame kwa taarifa yako keshafanya hiyo royal tour ingia YouTube utamuona
Naona akili zimewaruka
Hata Kama hamumupendi Mama Samia lakini si kuzua uongo Kama huu kuwa Rwanda hawajafanya Royal Tour
Morocco ndiyo namba one kwa watalii wengi Africa, je ni kwa sababu ya hicho kipindi??Acha kudandia matreni kwa mbele
Royal tour ni kipindi cha utalii cha tivii cha huko ulaya
Ambapo wana familia wa familia za kifalme wanatembelea nchi za kitalii, sasa safari hii wamekuja tanzania
Ndio rais kajumuika nao kwenye kipindi chao
Kwasababu ni kipindi maarufu ambacho wale matajiri wa kubwa wa ulaya wanaopenda utalii hukifuatilia
Kwa hiyo laumuni vyombo vyenu vya habari kutotoa taarifa kiundani
Rwanda ni sawa na mkoa wa Kagera [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuanza ku-compare Rwanda na Tanzania ni aibu.
So for the past 60 years dunia bado haijui vivutio vyetu siyo?? Kama till now hawajui tuna vivutio vya utalii watakuwa wanajua tuna nini hasa? Mbona mna hoja nyepesi sana aisee??Angefanya Biden mngesifia! Watanzania baadhi tunapenda kukosoa kila kitu. Ndiyo Rais wetu kaanzisha safari. Royal family ya British iliwahi kutangaza vivutio vya utalii vya nchi yao.
Anachokifanya Rais Samia akiwa ni mwanadiplomasia namba moja ni kuendelea kuionyesha dunia Tanzania ilivyo na utajiri na kuongeza uaminifu zaidi kwa watalii na wawekezaji#Tumuunge mkono Rais. Royal Tour.
Mawazo hayo ni yale ya Kukariri Darasani.Kwa mara ya kwanza Dunia inaenda kushuhudia mkuu wa nchi, Rais akitangaza utalii.
Rais anapoamua kutangaza utalii maana yake ni kwamba hilo Taifa analoongoza,ni Taifa mfu,ni Taifa lililokufa,ni taifa jipya kabisa chini ya jua,na halina raslimali zozote na wala kitu chochote,sasa inabidi atoke mkuu wa nchi aifahamishe Dunia kuwa taifa analoongoza lina sehemu za utalii.
Na Kwanza hata Kama taifa halina chochote, siyo kazi ya Rais kutangaza utalii.
Zipo strategies za kutangaza utalii, Samatta ni maarufu Duniani kuliko Rais Samia.
Rais anapoenda Location kama msanii wa Bongo movie kutangaza utalii,huo mkosi mzito mno kwa taifa,watalii hawaji Tanzania eti kwa sababu Rais aliwatangazia.
Wanakuja kwa sababu usalama wao utakuwa mkubwa zaidi, huwezi kwenda kutalii kwenye Taifa ambalo kiongozi mkuu wa Chama kikubwa Cha Upinzani ni Gaidi, maana yake ni kwamba hata mawaziri nao ni magaidi.
Kenya inapokea maelfu ya watalii kwa mwaka kuliko Tanza,ni nani alimwona Rais wa Kenya akienda location kutangaza utalii?
Yaani Serikali nzima yenye wasomi wa kada zote haina strategies za kutangaza utalii hadi Rais aende location?
Mbona ni rahisi mno kutangaza utalii kuliko ilivyo rahisi kunywa maji?
Tanzania hii yenye vivutio vyote leo hata Rwanda wameanza kuwazidi kupokea watalii wengi kwa sababu ya strategies.
Rais ataenda Location zote,na mtatengeneza filamu zote na watalii hamtawaona kwa sababu hamna strategies.
Nyie strategies zenu ni kuua Upinzani tu haya mengine zero kabisa.
Kwahiyo mama alipoenda Kigali alishauriwa afanye Royal tour na yeye kaufanyia kazi ushauri!! Kazi kweri kwerii teh[mention]My Son drink water [/mention] ulitakuwa kusoma kwanza at least google kabla ya kuweka andiko lako. Mifano midogo tu Rwanda mhe. Kagame ambaye ni Rais wa nchi hiyo amefanya hiyo show then Poland pia Prime minister wake amefanya hivo so bro fanya research kabla ya kutoa povu kali.
Piramidi za Misri ni maarufu kuliko kivutio kingine chochote barani Africa na sio kwa sababu Misri inajitangaza sana.Tumechelewa sana kujitangaza kwa Dunia na kutumia fursa ya utalii Kwa kuingiza mapato makubwa...
Mkuu naelewa sana kuwa Wasukuma kwa kawaida ni watu poa sana.In reality hakuna hicho kitu kinachoitwa "Sukuma Gang" ambacho kina exist in reality, huo ni urongo na uzushi tuu wa yule kichaa wetu wa Twitter kwa lengo la kujenga chuki dhidi ya Wasukuma...
Asante kwa hili kuhusu Wasukuma.Mkuu naelewa sana kuwa Wasukuma kwa kawaida ni watu poa sana.
Msukuma ni mtu gentle na mstaarabu kwa kadri ninavyo wafahami, maana tumeoleana huku mitaani.
Kwanza sii kweli JPM aliteua 80% kutoka Lake Zone, ukweli ni kuwa Lake Zone acconts for 40% of Tanzania population, hivyo kwenye kila uteuzi wa nafasi 10, nafasi 4 zilipaswa kutoka kanda hii as a derserving positions and not prefential treatment.Lakini kumbuka SUKUMA GANG ni pseudonym ya wafuasi wa Mwendazake.
Siyo siri hata hivyo kwamba Mwendazake aliteua 0ver 80% ya viongozi wake toka Lake Zone, na ndio maana ya asili ya hiyo Sukuma Gsng.
Kama kwenye kanda alizingatia hivyo kwa nini kwenye dini hakuzingatia hivyo?Asante kwa hili kuhusu Wasukuma.
Kwanza sii kweli JPM aliteua 80% kutoka Lake Zone, ukweli ni kuwa Lake Zone acconts for 40% of Tanzania population, hivyo kwenye kila uteuzi wa nafasi 10, nafasi 4 zilipaswa kutoka kanda hii as a derserving positions and not prefential treatment.
PTuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!
Wanabodi, Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila m-baya!, hivyo mtu akiwa ni Msukuma kweli, kamwe hawezi kuwa na ubaguzi wa kikabila, kidini na kikanda, labda jinsia, na hili sio kosa lao, ni mfumo dume wa jamii za kiasili za kiafrika. Declaration...www.jamiiforums.com
Kwa nini kwenye jinsia hakuzingatia hivyo ateue wanawake wengi kuliko wanaume?Asante kwa hili kuhusu Wasukuma.
Kwanza sii kweli JPM aliteua 80% kutoka Lake Zone, ukweli ni kuwa Lake Zone acconts for 40% of Tanzania population, hivyo kwenye kila uteuzi wa nafasi 10, nafasi 4 zilipaswa kutoka kanda hii as a derserving positions and not prefential treatment.
PTuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!
Wanabodi, Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni!, Wasukuma sii miongoni mwa makabila yenye ukabila m-baya!, hivyo mtu akiwa ni Msukuma kweli, kamwe hawezi kuwa na ubaguzi wa kikabila, kidini na kikanda, labda jinsia, na hili sio kosa lao, ni mfumo dume wa jamii za kiasili za kiafrika. Declaration...www.jamiiforums.com