ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
So what? Nini significance ya huo mradi zaidi ya kuwa kibaraka wa Putin?Kanajenga Kinu cha Nyuilia kwa msaada wa Urusi.
Wanaona hiyo mikwara ndio uongoziWatu kama Hawa wanapendwaga sana na wajinga.
Kwa wajinga jambo muhimu kwao ni kujitutumua na kukoroma hapo watakupa salute zote bila kujalisha matokeo hasi kwenye maisha Yao 😂😂
Kula mema ya nchi ni kuvaa suti tu au nguo zingine badala ya Military attire?Ushamba tu kutwa kucha na hayo mavazi,kama yupo vitani?
Sasa mema ya nchi atakula saa ngapi.
Kila mara nawaambiaga watu hizi nchi za West Africa zina ushamba mwingi sana
Nilimtamani binduki ya bwana Troure ijifwatue ikamalize ka bwana M_ngopa najua hatuwezi kuanzisha Vita na hiyo nchi yake maana watatupiga mpaka tuombe majiNilimuona M-ngopa anacheka cheka tu jukwaa kuu
Daaah nimecheka sana🤣🤣🤣Nilimtamani binduki ya bwana Troure ijifwatue ikamalize ka bwana M_ngopa najua hatuwezi kuanzisha Vita na hiyo nchi yake maana watatupiga mpaka tuombe maji
🥴🥴🥴🥴🥴🥴,Kenge kama nyie mnajua maisha ni kula tu.
Kulikuwa na ulazima gani kuniita kenge,Kenge kama nyie mnajua maisha ni kula tu.
Mjuaji kwenye moja na mbiliHawa viongozi wa kijeshi hawapaswi kuitwa Rais. Inatosha wakiitwa kiongozi wa kijeshi. Let's call them military rulers not presidents, kwa sababu hawakuingia madarakani kidemokrasia, hawakupigiwa kura. Kama huyu Ibrahim Traore ni kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso.
Pisto😎Bunduki?
Dah mwanangu unayajua haya Mambo Sana au sio?chuma ipo kaz kaz.hio ni glock 9 calibrated. ina uwezo wa kupiga risas 60 per sec.
Acha uongo, au typing errorchuma ipo kaz kaz.hio ni glock 9 calibrated. ina uwezo wa kupiga risas 60 per sec.