Rais Ibrahim Traore wa Burkina Faso alikaa Jukwaa kuu na bunduki yake wakati wa uapisho wa Rais mpya wa Ghana

Rais Ibrahim Traore wa Burkina Faso alikaa Jukwaa kuu na bunduki yake wakati wa uapisho wa Rais mpya wa Ghana

Ushamba tu kutwa kucha na hayo mavazi,kama yupo vitani?

Sasa mema ya nchi atakula saa ngapi.

Kila mara nawaambiaga watu hizi nchi za West Africa zina ushamba mwingi sana
Kula mema ya nchi ni kuvaa suti tu au nguo zingine badala ya Military attire?

Vipi M7 na mashati yake Oversize, naye hali mema ya Nchi..[emoji1]
 
Hawa viongozi wa kijeshi hawapaswi kuitwa Rais. Inatosha wakiitwa kiongozi wa kijeshi. Let's call them military rulers not presidents, kwa sababu hawakuingia madarakani kidemokrasia, hawakupigiwa kura. Kama huyu Ibrahim Traore ni kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso.
 
Hata yule wa syria si Rais, yule inatosha tu kuitwa kiongozi wa mapindizi ya syria, syrian coup leader. Huyu wa Burkina Faso anaingia na bastola hapo hajiamini, ana wasiwasi kupinduliwa na majeshi ya ECOWAS
 
Anaisha kama digi digi ndio roll model wa Africa hana mda mrefu wazungu wana njia nying za kukumaliza
 
Back
Top Bottom