Rais Ibrahim Traore wa Burkina Faso alikaa Jukwaa kuu na bunduki yake wakati wa uapisho wa Rais mpya wa Ghana

Rais Ibrahim Traore wa Burkina Faso alikaa Jukwaa kuu na bunduki yake wakati wa uapisho wa Rais mpya wa Ghana

Hawa viongozi wa kijeshi hawapaswi kuitwa Rais. Inatosha wakiitwa kiongozi wa kijeshi. Let's call them military rulers not presidents, kwa sababu hawakuingia madarakani kidemokrasia, hawakupigiwa kura. Kama huyu Ibrahim Traore ni kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso.
Kwahiyo hawa wenyeviti wa serikali za mitaa waliopita kiujanjaujanja nao hawafai kuwaita waheshimiwa kisa hawakupigiwa Kura kihalali? Au wale wabunge na madiwani mwaka 2020?
 
Kwahiyo hawa wenyeviti wa serikali za mitaa waliopita kiujanjaujanja nao hawafai kuwaita waheshimiwa kisa hawakupigiwa Kura kihalali? Au wale wabunge na madiwani mwaka 2020?
wale waliingia madarakani kwa uchaguzi, japo ni uchaguzi wa kuzuga. Hawa wanajeshi walipindua, hakukuwa na uchaguzi hata wa kuzugia
 
Watu kama Hawa wanapendwaga sana na wajinga.

Kwa wajinga jambo muhimu kwao ni kujitutumua na kukoroma hapo watakupa salute zote bila kujalisha matokeo hasi kwenye maisha Yao 😂😂
Bado yuko vitani, nchi nyingi za Afrika bado haziko huru zimetawaliwa, haziko huru kufanya mambo yake, ukikubali mapambano ni muda wote, ubwanyenye ni huko kwenu tu mukubali misaada lakini muunge mkono LGBTQ
 
Watu kama Hawa wanapendwaga sana na wajinga.

Kwa wajinga jambo muhimu kwao ni kujitutumua na kukoroma hapo watakupa salute zote bila kujalisha matokeo hasi kwenye maisha Yao [emoji23][emoji23]

Umeongea ukweli kabisa, alafu huyu jamaa ni mshamba mshamba sana, jukwaa kuu uko na marais wenzako, bundiki ya nini kiunoni? Uhuni tu
 
Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traore ndiye kiongozi pekee wa aliyekuwa jukwaa la VIP huku akiwa na pisto yake kiunoni.

Pia ndiye kiongozi pekee aliyeruhusiwa kuingia na walinzi wake jukwaa kuu.

Awali ilionekana asingehudhuria sherehe hiyo, ila akatokea dakika za lala salama.

Katika sherehe hizo, Tanzania tuliwakilishwa na Makamu wa Rais, Philip Mpango.
==================================================

Burkina Faso's President Ibrahim Traore attended the inauguration of Ghana's President John Mahama.

In one of his rare foreign trips, President Traore enjoyed the privileges of being allowed to wear his military uniform, carry a pistol and have his own armed personal security.View attachment 3196677View attachment 3196678

He received loud cheers from the crowd.

View: https://x.com/CaptaineIB/status/1883920678493249821
 
Back
Top Bottom