avitus john
Member
- Aug 11, 2024
- 67
- 102
Huyo ndo mwamba rais Yuko smart sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama alivyokuwa yule baba yenu aliyekufa. Naye alikuwa anajitutumua na kuwajaza watu upepo eti Tanzania ni tajiri sana.Watu kama Hawa wanapendwaga sana na wajinga.
Kwa wajinga jambo muhimu kwao ni kujitutumua na kukoroma hapo watakupa salute zote bila kujalisha matokeo hasi kwenye maisha Yao 😂😂
mema ya nchi, unahis hali mema ya nchi.... pengine ndio stail yake ya ku intimidate watu.. uonekane serious matata, mbambe... umenyooka..ili watu wasikuangalie kwa jicho la pili... si unajua kwa africa chochote kinachofanyika kikihusisha jeshi hakihojiwi.. unaanza kufukunyua mambo ya jeshi... rejea mfano wa kiongozi flani miaka michache nyuma wa nchi nchi flan.. alikuwaga namna hiyo ingawa hakuwa mjeda ila mbele ya umama akaonekana kanyooka yuko serious kuliko u serious wenyewe ila nyuma ya pazia kuna mengi yalitokea ambayo ndo yalikuwa yanaididimiza nchiUshamba tu kutwa kucha na hayo mavazi,kama yupo vitani?
Sasa mema ya nchi atakula saa ngapi.
Kila mara nawaambiaga watu hizi nchi za West Africa zina ushamba mwingi sana
Point yako nimeielewa hivi,tunahadaika sanamema ya nchi, unahis hali mema ya nchi.... pengine ndio stail yake ya ku intimidate watu.. uonekane serious matata, mbambe... umenyooka..ili watu wasikuangalie kwa jicho la pili... si unajua kwa africa chochote kinachofanyika kikihusisha jeshi hakihojiwi.. unaanza kufukunyua mambo ya jeshi... rejea mfano wa kiongozi flani miaka michache nyuma wa nchi nchi flan.. alikuwaga namna hiyo ingawa hakuwa mjeda ila mbele ya umama akaonekana kanyooka yuko serious kuliko u serious wenyewe ila nyuma ya pazia kuna mengi yalitokea ambayo ndo yalikuwa yanaididimiza nchi
Ndiyo Raisi pekee aliyeifikisha nchi kwenye uchumi wa kati. Full stopKama alivyokuwa yule baba yenu aliyekufa. Naye alikuwa anajitutumua na kuwajaza watu upepo eti Tanzania ni tajiri sana.
Mkuu nakubaliana nawewe 100% ila ondoa hilo neno west. hizi ni typical jamii za kina magu madikteta uchwara.Kila mara nawaambiaga watu hizi nchi za West Africa zina ushamba mwingi sana
Ujana maji ya Moto sifa za kijinga kabisa!! Kwenye nchi za wenzetu hawawezi kuruhusu upuuzi kama huo. Kitendo kama hicho kikiendelea kuruhusiwa kinaweza kuleta majanga makubwa sana!!Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traore ndiye kiongozi pekee wa aliyekuwa jukwaa la VIP huku akiwa na pisto yake kiunoni.
Pia ndiye kiongozi pekee aliyeruhusiwa kuingia na walinzi wake jukwaa kuu.
Awali ilionekana asingehudhuria sherehe hiyo, ila akatokea dakika za lala salama.
Katika sherehe hizo, Tanzania tuliwakilishwa na Makamu wa Rais, Philip Mpango.
==================================================
Burkina Faso's President Ibrahim Traore attended the inauguration of Ghana's President John Mahama.
In one of his rare foreign trips, President Traore enjoyed the privileges of being allowed to wear his military uniform, carry a pistol and have his own armed personal security.View attachment 3196677View attachment 3196678
He received loud cheers from the crowd.
Ushamba mtu anafagilia raus flan wa Lebanon bila kujua how president anapatika kwa namna gan itoshe tz mpk uliona wamesoma is empty boxNa pengine hata hajui historia au falsafa za huyo mtu vizuri.
Wewe ujanja wako ni upi?hujui kwamba huyo jamaa anawindwa na mataifa ya Ulaya so unataka akae kizembezembe kisha baadae akiuliwa ndio mjitokeze kumpa sifa za kinafiki.Watu kama Hawa wanapendwaga sana na wajinga.
Kwa wajinga jambo muhimu kwao ni kujitutumua na kukoroma hapo watakupa salute zote bila kujalisha matokeo hasi kwenye maisha Yao 😂😂
Huyo ameshindikana ndugu maana hatumii nguvu tu bali anatumia akili nyingiMadikteta yana mbwembwe! Halafu mwisho wao huwa mbaya sana muda huo atatafuta japo kokoto hataiona.
Yes, African dictators.Madikteta yana mbwembwe! Halafu mwisho wao huwa mbaya sana muda huo atatafuta japo kokoto hataiona.
Punguza povuUshamba tu kutwa kucha na hayo mavazi,kama yupo vitani?
Sasa mema ya nchi atakula saa ngapi.
Kila mara nawaambiaga watu hizi nchi za West Africa zina ushamba mwingi sana
Nina uhakika utakuwa mwana CCM wewe.Watu kama Hawa wanapendwaga sana na wajinga.
Kwa wajinga jambo muhimu kwao ni kujitutumua na kukoroma hapo watakupa salute zote bila kujalisha matokeo hasi kwenye maisha Yao 😂😂
Wewe ambae sio mwana CCM Kuna kipi Cha maana umewazidi Wana ccm?Nina uhakika utakuwa mwana CCM wewe.
Sijawazidi kitu mkuuWewe ambae sio mwana CCM Kuna kipi Cha maana umewazidi Wana ccm?