Rais Ibrahim Traore wa Burkina Faso alikaa Jukwaa kuu na bunduki yake wakati wa uapisho wa Rais mpya wa Ghana

Ushamba tu kutwa kucha na hayo mavazi,kama yupo vitani?

Sasa mema ya nchi atakula saa ngapi.

Kila mara nawaambiaga watu hizi nchi za West Africa zina ushamba mwingi sana
pia uwajibikaj sio kuvaa sare , huyo anatak vyeo vyote viwili kijeshi na kisiasa
 
Haka kajamaa kanatumia Nguvu kubwa sana kujitutumua sijui shida ni nini?
Ila msijisahaulishe na yule wa kwenu πŸ˜„πŸ˜„
Ukiona hivyo jua alikotokea alikuwa analala kwenye ngozi za ng'ombe kama godoro, alikuwa anavaa ngozi za mbuzi, alikuwa anakunywa maji yenye rangi ya maziwa, choo ni kichakani.
Watu aina hiyo wakionja raha za mji hupandisha mabega, anataka kuwakoga watu kana kwamba wote tuliishi naye kijijini kwao😳😳😳😳😳.
 
Ushamba tu kutwa kucha na hayo mavazi,kama yupo vitani?

Sasa mema ya nchi atakula saa ngapi.

Kila mara nawaambiaga watu hizi nchi za West Africa zina ushamba mwingi sana
Sawa Dada yetu mpendwa wa East Africa
 
Uhai wake upo mashakani mwache mshikaji ajilinde wawest sio Wana kabisa
Kwahiyo hicho kibastola ndiyo kinamlinda?
Acha maskhara kijana.
Waziri mkuu wa Isreil Yizhak Rabin aligongwa shaba katikati ya kundi la walinzi wake wanaoo ogopwa duniani kote.
Waziri Mkuu wa India, Mama Indira Gandhi alichalazwa risasi akiwa katikati ya kundi la maaskari wake wenye AK47 za kutosha.
Sasa huyo hapo kibastola chake ndo kimpe ulinzi?😳

Hivi uliona namna Trump alivyokoswa koswa, angekuwa na bastola kwenye mazingira yale ingemsaidiaje?
 
Lakini ni upuuzi kujumuika na Marais wenzako ukiwa una ma bunduki.inaonekana anaushamba wa madaraka.
Huenda wana usalama wΓ  Ghana wamekitoa risasi kabla hajafika nacho eneo hilo.
Vyombo vya usalama haviwezi kuruhusu katikati ya kundi la viongozi wa nchi mtu mmoja aingie na kitu kama hicho tena kipo wazi wazi namna hiyo.
 
Watu kama Hawa wanapendwaga sana na wajinga.

Kwa wajinga jambo muhimu kwao ni kujitutumua na kukoroma hapo watakupa salute zote bila kujalisha matokeo hasi kwenye maisha Yao πŸ˜‚πŸ˜‚
Angalia anavobadilisha nchi yake na huku wanamwinda wacha wivu
 
Ushamba tu kutwa kucha na hayo mavazi,kama yupo vitani?

Sasa mema ya nchi atakula saa ngapi.

Kila mara nawaambiaga watu hizi nchi za West Africa zina ushamba mwingi sana
Maneno mengi ya nini kama unauweza kapime.
 
Anaisha kama digi digi ndio roll model wa Africa hana mda mrefu wazungu wana njia nying za kukumaliza
Mkuu inaoneka unasubiri kwa hamu sana Wazungu wammalize?

Kwanini Waafrika tupo hivi?
 
Amewatuliza wapi? Kuongoza wajinga kama nyie ni simple tuu ,mnalishwa propaganda na matumaini imeisha hiyo πŸ˜†πŸ˜†
Mbuzi kama wewe ndio mnapendwa na wazungu kama mlivyokutwa mnakula mbegu na miziz miaka ile...
Huyu mwamba kafukuza mashoga ya ufaransa wewe, wakati wewe huwezi hata kumjibu mama mwenye nyumba unakopanga
 
So what? Nini significance ya huo mradi zaidi ya kuwa kibaraka wa Putin?
Miaka yote kabla yake, wangese waliokuwa maraisi walikuwa wanaukalia wa mfaransa na kutema uranium
Wewe mla vumbi wa muhunze ndio unajua siasa za Burkinabe
 
Wahuni wakiamya hiyo pistol haitasaidia chochote tmaana inawezekana hata hao walinzi anaowaamini ndio wakamfanyia umafia
 
Wazungu na nchi hizi kama Ufaransa haina namna ya kuishi bila kuiba huku Afrika yaani siku tukiamka sisi tunatawala wale jamaa
 
Elewa mada iliyoletwa na pia elewa nilichojibu .
Kheri ya mwaka mpya mdogo wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…