Rais Ibrahim Traore wa Burkina Faso alikaa Jukwaa kuu na bunduki yake wakati wa uapisho wa Rais mpya wa Ghana

Watu kama Hawa wanapendwaga sana na wajinga.

Kwa wajinga jambo muhimu kwao ni kujitutumua na kukoroma hapo watakupa salute zote bila kujalisha matokeo hasi kwenye maisha Yao πŸ˜‚πŸ˜‚
Kama alivyokuwa yule baba yenu aliyekufa. Naye alikuwa anajitutumua na kuwajaza watu upepo eti Tanzania ni tajiri sana.
 
Huyu jamaa ni mjinga sana, anafikiri Hilo taifa ni la mama yake kutwa kutuna kama nguchiro.
 
Ushamba tu kutwa kucha na hayo mavazi,kama yupo vitani?

Sasa mema ya nchi atakula saa ngapi.

Kila mara nawaambiaga watu hizi nchi za West Africa zina ushamba mwingi sana
mema ya nchi, unahis hali mema ya nchi.... pengine ndio stail yake ya ku intimidate watu.. uonekane serious matata, mbambe... umenyooka..ili watu wasikuangalie kwa jicho la pili... si unajua kwa africa chochote kinachofanyika kikihusisha jeshi hakihojiwi.. unaanza kufukunyua mambo ya jeshi... rejea mfano wa kiongozi flani miaka michache nyuma wa nchi nchi flan.. alikuwaga namna hiyo ingawa hakuwa mjeda ila mbele ya umama akaonekana kanyooka yuko serious kuliko u serious wenyewe ila nyuma ya pazia kuna mengi yalitokea ambayo ndo yalikuwa yanaididimiza nchi
 
Point yako nimeielewa hivi,tunahadaika sana
 
Sisi Afrika bado hatujakuwa huru kikamilifu, kuna mfumo wa kutawaliwa na hao mabeberu usiyo rasmi. Haiwezekani Afrika yote tukawa kuna tabaka la watu wachache wenye nacho na wengi wasiyo na kitu(maskini), wakati tuna kila aina ya neema ya rasilimali, ardhi yenye rutuba, vyanzo vya maji, bahari, mvua za kutosha, mifugo n.k.
 
Kama alivyokuwa yule baba yenu aliyekufa. Naye alikuwa anajitutumua na kuwajaza watu upepo eti Tanzania ni tajiri sana.
Ndiyo Raisi pekee aliyeifikisha nchi kwenye uchumi wa kati. Full stop
 
Ujana maji ya Moto sifa za kijinga kabisa!! Kwenye nchi za wenzetu hawawezi kuruhusu upuuzi kama huo. Kitendo kama hicho kikiendelea kuruhusiwa kinaweza kuleta majanga makubwa sana!!
 
Na pengine hata hajui historia au falsafa za huyo mtu vizuri.
Ushamba mtu anafagilia raus flan wa Lebanon bila kujua how president anapatika kwa namna gan itoshe tz mpk uliona wamesoma is empty box
 
Watu kama Hawa wanapendwaga sana na wajinga.

Kwa wajinga jambo muhimu kwao ni kujitutumua na kukoroma hapo watakupa salute zote bila kujalisha matokeo hasi kwenye maisha Yao πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe ujanja wako ni upi?hujui kwamba huyo jamaa anawindwa na mataifa ya Ulaya so unataka akae kizembezembe kisha baadae akiuliwa ndio mjitokeze kumpa sifa za kinafiki.
 
Huyu jamaa ni mshamba tu ! Kwani nani haijui ye ni mwanajeshi ? Kama anahofia usalama wake asingeenda basi !
 
Hiyo ni ishara mojawapo kuwa mwamba anajiamini.

Sema Rais wa Botswana ni anajitupia hatari.
 
Ushamba tu kutwa kucha na hayo mavazi,kama yupo vitani?

Sasa mema ya nchi atakula saa ngapi.

Kila mara nawaambiaga watu hizi nchi za West Africa zina ushamba mwingi sana
Punguza povu
 
Watu kama Hawa wanapendwaga sana na wajinga.

Kwa wajinga jambo muhimu kwao ni kujitutumua na kukoroma hapo watakupa salute zote bila kujalisha matokeo hasi kwenye maisha Yao πŸ˜‚πŸ˜‚
Nina uhakika utakuwa mwana CCM wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…