Rais Ibrahim Traore wa Burkina Faso alikaa Jukwaa kuu na bunduki yake wakati wa uapisho wa Rais mpya wa Ghana

Kwahiyo hawa wenyeviti wa serikali za mitaa waliopita kiujanjaujanja nao hawafai kuwaita waheshimiwa kisa hawakupigiwa Kura kihalali? Au wale wabunge na madiwani mwaka 2020?
 
Kwahiyo hawa wenyeviti wa serikali za mitaa waliopita kiujanjaujanja nao hawafai kuwaita waheshimiwa kisa hawakupigiwa Kura kihalali? Au wale wabunge na madiwani mwaka 2020?
wale waliingia madarakani kwa uchaguzi, japo ni uchaguzi wa kuzuga. Hawa wanajeshi walipindua, hakukuwa na uchaguzi hata wa kuzugia
 
Watu kama Hawa wanapendwaga sana na wajinga.

Kwa wajinga jambo muhimu kwao ni kujitutumua na kukoroma hapo watakupa salute zote bila kujalisha matokeo hasi kwenye maisha Yao 😂😂
Bado yuko vitani, nchi nyingi za Afrika bado haziko huru zimetawaliwa, haziko huru kufanya mambo yake, ukikubali mapambano ni muda wote, ubwanyenye ni huko kwenu tu mukubali misaada lakini muunge mkono LGBTQ
 
Watu kama Hawa wanapendwaga sana na wajinga.

Kwa wajinga jambo muhimu kwao ni kujitutumua na kukoroma hapo watakupa salute zote bila kujalisha matokeo hasi kwenye maisha Yao [emoji23][emoji23]

Umeongea ukweli kabisa, alafu huyu jamaa ni mshamba mshamba sana, jukwaa kuu uko na marais wenzako, bundiki ya nini kiunoni? Uhuni tu
 

View: https://x.com/CaptaineIB/status/1883920678493249821
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…