Rais Jakaya Kikwete ampigia simu Diamond Platinum

hivi ile project aliyomtafutiaga na meneja wa Trey Song iliishiaga wapi,au ndo mambo ya siasa? Anyway JK atakumbukwa kwa kujali vijana wenye juhudi na wanaoitangaza nchi, aliwatembeleaga hadi kina mbwana samatta kupiga stori mbili tatu Congo, safi!

Mkuu just imagine project ingefanywa mwaka jana isingekuwa na impact kusingekuwa na tofauti kubwa sana na project za Mkubwa AY...

Kuanzia mwaka huu mwishoni au mwakani ni muda muafaka coz amekuwa mkubwa sana na anaendelea kuwa so itakuwa na anticipation ya kutosha Africa nzima
 
Mnaweweseeeeka ngojeni tu sisi maneno hatuna...nyiny kiongoz wenu ana domo kubwa vile lazima muwe wakubwabwaja sisi akhaaaaa tukutane afrimma...ndo mtajua domo huwa anapeta pale ambapo King hayupo tuuu puuumbav

Huyo kibaka wenu pale kawekwa kama rumbesa tu kujazia nafasi hakuna jipya...

Mwakani zamu ya Nuh mziwanda wanabadilishana zamu ma underground
 
Hivi kumbe kupigiwa simu na Rais ni issue kubwa hivi eeh?
Basi kuanzia leo itabidi niwe nampigia salute...... wangu.

Eeeeeeh lazima U salute kwa President wa wasaaaaaafi...

Hatutafutwi na walinzi wa zamu mbugani, tunatafutwa na wakina Neyo, muheshimiwa, Dbanj hadi wanalilia collable

MTANYOOKA TU
 
Soma kwanza nilichokiandika bumunda wewe, nimpigie domo salute yeye kama nani?
Salute nampigia la Aziz wangu......
Niishie hapa mie.
 
hahaha sasa bumunda limetokea wapi??

maneno yakikuchoma jifunze kuwa na kakifua kidogo mbona nyimbo mbovu za kibakulibunafumilia?? hahahahà

RESPECT TO MRM ICON

MTANYOOKA TU!!!!!!!
 
Naomba nindike hii post kama ya mwisho maana sitokujibu tena.

Kiukweli mwanzo ulikuwa vizuri sana Kidingi, ulikua unaandika mambo yenye mashiko kiasi kwamba hata mimi nilikua nasema yes...
Ila sijui siku hizi umepatwa na kitu gani! Umekuwa kama mwendawazimu fulani hivi....
Heshima yako yote imepotea ndani ya kipindi kifupi sana.
Naandika haya kwa upole na kama ushauri tu...maana wewe umeamua kunivamia kwa post yangu niliyoitoa na kunijibu tofauti na nilichokiandika katika post yangu basi sio mbaya na mimi nikitoka nje ya unachokiandika.

Mfano mzuri angalia hapo kwenye red, ndio umeandika nini?
Ndio wendawazimu wenyewe huo maana umepoteza umakini kabisa.

Nayasema haya kwa wema tu, kama wewe ni mtu makini basi fikiria hayo na kuyafanyia kazi,
Tchao.
 
Mkuu just imagine project ingefanywa mwaka jana isingekuwa na impact kusingekuwa na tofauti kubwa sana na project za Mkubwa AY...

Kuanzia mwaka huu mwishoni au mwakani ni muda muafaka coz amekuwa mkubwa sana na anaendelea kuwa so itakuwa na anticipation ya kutosha Africa nzima

Sawa bro
 
Naomba nindike hii post kama ya mwisho maana sitokujibu tena.

Kiukweli mwanzo ulikuwa vizuri sana Kidingi, ulikua unaandika mambo yenye mashiko kiasi kwamba hata mimi nilikua nasema yes...
Ila sijui siku hizi umepatwa na kitu gani! Umekuwa kama mwendawazimu fulani hivi....
Heshima yako yote imepotea ndani ya kipindi kifupi sana.
Naandika haya kwa upole na kama ushauri tu...maana wewe umeamua kunivamia kwa post yangu niliyoitoa na kunijibu tofauti na nilichokiandika katika post yangu basi sio mbaya na mimi nikitoka nje ya unachokiandika.

Mfano mzuri angalia hapo kwenye red, ndio umeandika nini?
Ndio wendawazimu wenyewe huo maana umepoteza umakini kabisa.

Nayasema haya kwa wema tu, kama wewe ni mtu makini basi fikiria hayo na kuyafanyia kazi,
Tchao.

Hata wewe una matatizo sana siku hizi tunakuonea huruma na unasikitisha.

Kazi yako kufuatilia pasono laifu za watu kuchukia watu bila sababu kisa tu kamzidi mtu wako .

Huu ni uswahili wa kiwango A badilika haujachelewa na acha kujivuni huna hiyo thamani unanayodhani unayo.
 
Hahahaaaaa, haya wewe yanakuhusu nini? Nilikua namuambia Kidingi wewe sina na wala sinaga habari na wewe.

Hayo yote uliyoyasema yanakuhusu wewe moja kwa moja.
Unakumbuka ulivyokua unafurahia mimi kutoka humu mwezi ule wa Ramadan? Tena ukasema hutupendi mimi na Diva Beyonce?

Mimi hua nafuatilia personal life ya nani?
Nipotezee hapa nimekujibu tu kuweka mambo sawa, wala majibu yako siyataki.
 
Last edited by a moderator:
Duh!! yaani basi la Simiyu limepata ajali mbaya na kuuwa Watanzania zaidi ya 20 cha ajabu Rais badala ya angalau kuzungumzia machungu na kuwapa pole Majeruhi na wale ndugu waliopoteza ndugu na jamaa zao anampigia simu Diamond kumpongeza yaani tukio hili amelipotezea kwa kuwa tu muda wake ndio unayoyoma.
Kwa hiyo siku nzima simu ana wapigia wafiwa tuu?
 
Back
Top Bottom